brazil - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Ancelotti Aikataa Brazil Tena

La Liga

Kocha wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Italia Carlo Ancelotti ameonekana kukanusha tena habari zinazomuhusisha yeye kujiunga na timu ya taifa ya Brazil. Ancelotti akifanya mazungumzo na …

Ancelotti Anukia Brazil

Daily News

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti inaripotiwa ananukia kunako timu ya taifa ya Brazil ambapo amekua akihusishwa kwa muda mrefu kuchukua kibarua cha timu hiyo. Ancelotti inatajwa yupo …

Ancelotti Akanusha Kuhusu Brazil

La Liga

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amekanusha tena taarifa kuhusu yeye kuchukua mikoba ya Tite na kukinoa kikosi cha timu ya taifa ya Brazil. Kocha Ancelotti kwa kipindi …

Brazil Bado Wanamuhitaji Ancelotti

Daily News

Timu ya taifa ya Brazil imeonesha bado haijakata tamaa kwa kocha wa Real madrid Carlo Ancelotti ambae wanataka aifundishe timu ya taifa ya nchi hiyo akirithi mikoba ya kocha aliyepita …

Zidane Atakiwa Kua Kocha Brazil

Daily News

Aliyekua kocha wa zamani wa klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane amezungumzwa kama mtu sahihi wa kukinoa kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kwasasa. Baada ya timu ya taifa …

1 2 3 4 70 71 72