callum hudson odoi - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Callum Hudson-Odoi Anafurahi Kucheza Leo

Daily News

Callum Hudson-Odoi anafuraha kuhamia Nottingham Forest baada ya kusajiliwa kutoka Chelsea siku ya mwisho.   Hudson-Odoi mwenye miaka 22, anaondoka The Blues akiwa ameichezea klabu hiyo mara 126 na alikuwa …

Callum Hudson-Odoi Atanasa Kwenye 18 ya Nani?

Football

Manchester United wanaripotiwa kuunga tela kumfukuzia Callum Hudson-Odoi ambaye Bayern Munich pia wanamtupia jicho wakijiandaa kuweka pesa mezani kwa ajili yake. Chelsea bado wanamtaka pia licha ya ukimya uliopo. Kwa …

Callum Hudson-Odoi Ndani ya England U21

Football

Kinda wa Chelsea, Callum Hudson-Odoi amepata shavu kwenye kikosi cha uingereza chini ya miaka 21 kwa mara ya kwanza wakati kikosi hicho kikiandaliwa kuvaana na Poland na Ujerumani kwenye Michuano …

Chelsea Kumuuza Odoi Italia

Daily News

Klabu ya Chelsea ina mpango wa kumuuza mchezaji wake raia wa kimataifa wa Ghana Callum Hudson Odoi nchini Italia katika klabu ya Lazio. Callum Hudson Odoi ambaye alikua kwa mkopo …

Odoi Kutorudi Chelsea Januari

Daily News

Winga wa klabu ya Chelsea aliyeenda kwa mkpo klabu ya Bayern Liverkusen Callum Hudson Odoi imethibitika hatarudi klabuni hapo katika dirisha dogo la mwezi Januari. Mchezaji huyo ambaye amekua na …

Hudson Odoi Aikataa Ghana

Premier League

Callum Hudson-Odoi amekataa nafasi ya kucheza Kombe la Dunia la Qatar akiwa na Ghana na badala yake atasita kuamua mustakabali wake wa kimataifa. Winga huyo wa Chelsea kwa sasa yuko …

Odoi Atolewa kwa Mkopo Leverkusen

News

Klabu ya Chelsea imekubaliana na klabu ya Bayer Leverkusen inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani (Bundesliga) kumtoa kwa mkopo winga Callum Hudson Odoi na anatarajiwa kufika leo Ujerumani kwaajili ya vipimo …

Odoi yuko Huru

Daily News

Callum Hudson-Odoi hatachukuliwa hatua yoyote kuhusu shtuma zake dhidi ya ubakaji, winga wa Chelsea amethibitisha. Hudson-Odoi, 19, alikamatwa Mei 17 na kuruhusiwa kwa dhamana. Mchezaji huyo wakimataifa wa Uingereza ameandika …

Macho ya Chelsea Yapo Huku…

Bundesliga

Kwa mara ya kwanza Chelsea wamewasiliana rasmi na Borussia Dortmund juu ya nia yao ya kutaka kumsajili winga wa Marekani, Christian Pulisic ambapo inasemekana kwamba klabu hiyo ya Ujerumani itataka …

1 2 3 4