CHADRACK BOKA AONGEZA MZUKA KAMBI YA YANGA
Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto Chadrack Boka kutoka klabu ya FC Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili. Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto Chadrack Boka kutoka klabu ya FC Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili. Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na …
Barcelona hawaelekei kwenye dirisha la usajili la Januari wakiwa na matumaini makubwa. Klabu inafahamu uwezo wao wa kifedha ambao umeathiriwa na kanuni za Fair Play na hakuna uhakika kuhusu ikiwa …
FIFA ilisitisha mashirikisho ya kitaifa ya mpira ya miguu ya Pakistani na Chad siku ya Jumatano kufuatia mizozo ya jinsi gani mashirikisho hayo yanapaswa kuendeshwa. Shirikisho la soka la Pakistani …
Mlinzi wa kulia wa klabu ya Singida Black Stars kutoka mkoani Singida, Ande Kofie Cirille raia wa Ivory Coast, anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa wiki takribani sita hadi kurejea …
Klabu ya Liverpool chini ya kocha mkuu Arne Slot imezidi kupata mwendelezo mbaya wa matokeo kwenye ligi kuu baada ya kupoteza mechi yake ya 4 mfululizo wikendi hii dhidi ya …
Chadrack Boka, beki wa Yanga ameweka wazi kuwa ushindani ndani ya ligi ni mgumu jambo ambalo linawafanya wawe makini kila wanaposhuka uwanjani kusaka pointi tatu. Beki huyo ni chaguo la …
KITAWAKA. Ni Simba na Yanga fainali ya Ngao ya Jamii katika dimba la Mkapa kitawaka. Simba amesajili wachezaji kibao akiwemo Debora Fernandez Mavambo, Okejepha na Ahoua, huku Yanga akiwa na …
KIUNGO wa Yanga Stephen Aziz Ki alisema kuongezwa kwa Clatous Chama, Prince Dube na Jean Baleke ni kama kutamrahisishia kazi alizokuwa akizifanya msimu uliopita na wakati mwingine kuigharimu timu. Jisajili …
Simba na Yanga ni timu zilizokamilisha usajili wa idadi ya nyota 12 wa kigeni, Wekundu wakinasa mastaa saba wapya wanaoungana na watano waliosalia kutoka kikosi cha msimu uliopita, wakati Wananchi …
Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Jean Othos Baleke ambaye alikuwa kwa mkopo kunako klabu ya Al Ittihad ya Libya amethibitisha kujiunga na Young Africans Sc kama mchezaji mpya klabuni …
MABOSI wa Singida Black Stars hawataki utani ambapo kwenye safu ya ushambuliaji wamemuongeza mtambo wa mabao Joseph Guede ambaye msimu uliopita wa 2023/24 alikuwa ndani ya Yanga. Jisajili hapa kuwa …
BAADA ya Kukamilika kwa Usajili wa Clatous Chama ilipeleka furaha kwa mashabiki wa Yanga lakini huenda ukawa ni mtihani mzito sana kwa Mudathir Yahya ambaye nafasi ya hadi sasa ipo …
Jean Baleke aliyewahi kukipiga na Jezi ya Simba Inaelezwa kuwa amesaini mkataba wa mwaka mmoja Yanga, baada ya kufuzu vipimo vya afya juzi na tayari ameanza mazoezi na wenzake kambini. …
MUARGENTINA wa Yanga Miguel Gamondi amesema licha ya usajili wa mastaa waliosajiliwa katika timu hiyo, hana hofu ya kupanga kikosi. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila …
Miguel Gamondi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa anafurahishwa na usajili ambao umefanywa na Uongozi wa kuleta MASTAA akiwemo Clatous Chama na Prince Dube. Beti na Meridianbet kwa …
Uongozi wa klabu ya Yanga SC, umemuongeza mkataba wa miaka miwili beki wao wa kulia, Kibwana Shomari kuendelea kuitumikia klabu hiyo, mkatab huo utadumu hadi mwaka 2026. Kibwana ambaye ameitumikia …
BAADA ya Clatous Chama rasmi kutambulishwa na kuthibitika kuwa mpambanaji wa Yanga msimu wa 2024/2025 ambapo timu hiyo itakuwa ikishiriki mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrka, Ligi Kuu Bara, Kombe …
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi aemvutia waya beki mpya kutoka FC Lupopo Chadrack Boka na kumpa maelekezo mazito kuhusu msimu ujao ambapo Yanga inazidi kujinoa zaidi. Beti na Meridianbet kwa …
Mwamuzi Alhadi Allaou Mahamat mwenye miaka (37) kutoka Chad ndiye atakayeamua mechi ya mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba na Al Ahly …
Timu ya Taifa Mpira wa Wavu Tanzania (ALMASI KINGS) imeibuka na ushindi dhidi ya Timu ya Taifa ya Mali wa Set (3-1), Mashindano ya Afrika, mchezo uliomalizika muda mchache uliopita …