championship - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Pan Waanza Kutamba Championship

SOKA LA BONGO

Baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Fountain Gate kikosi cha Pan African kitarejea mazoezini kesho kujiandaa na mchezo ujao wa Championship. Pan itashuka tena dimbani Novemba …

Pan matumaini kibao Championship.

CAF

BAADA ya kuanza michuano ya Championship kwa sare ugenini dhidi ya Kitayosce, benchi la ufundi la Pan African limefurahishwa na viwango vya wachezaji wao na kuahidi kufanya vizuri msimu huu. …

EFL Championship Kurindima Juni 20

Daily News

Michuano ya EFL Championship inatarajiwa kurejea kuanzia Juni 20, huku Fulham wakiwa wenyeji wa Brentford. Hii itakuwa mwchi ya kwanza kwa debi ya Londoni Magharibi baada ya likizo ya Corona. …

Championship Kurejea Juni 20

Champions League

Bodi ya ligi ‘EFL’ imethibitisha kuwa michuano ya Championship itarejea kuanzia tarehe 20 mwezi wa sita, miezi mitatu baada ya kusimamishwa kutokana na mlipuko wa virusi vya corona. Mashindano hayo …

BOSI LIGI KUU ATOA TAMKO

SOKA LA BONGO

Bosi na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almas Kasongo amesema kwenye nyakati hizi za Ligi kwenda ukingoni watakuwa makini kufuatilia matukio yote ya Michezo. Kasongo amesema …

Mchezaji Yanga Afufukia Polisi

Daily News

NYOTA wa Yanga, Joseph Guede, baada ya masimango mengi kutoka Kwa mashabiki kuwa hafungi, hatimaye amejibu maswali hayo mbele ya Polisi Tanzania jana usiku dhidi ya Polisi Tanzania ya Championship. …

Wayne Rooney Apigwa Panga Birmingham.

News

Wayne Rooney inasemekana amefutwa kazi kama kocha wa Birmingham baada ya kushinda michezo 15 tu, Uamuzi huo umeanya na Tom Brady pamoja na bodi ya timu hiyo wakichukua hatua thabiti. …

Anthony Taylor Ashushwa Daraja

Daily News

Mwamuzi Anthony Taylor amekumbana na rungu la shirikisho la soka nchini humo na kushushwa daraja baada ya kuizawadia klabu ya Newcastle mkwaju wa penati katika mchezo uliopigwa wikiendi iliyopita. Mwamuzi …

1 2 3 4 14 15 16