chelsea - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Aston Villa Kuibomoa Chelsea

Daily News

Klabu ya Aston Villa ipo mbioni kumalizana na beki wa kushoto wa klabu ya Chelsea raia wa kimataifa wa Uholanzi ambaye alikua anakipiga kwa mkopo klabu ya Borussia Dortmund Ian …

Chelsea Waanza fujo za Usajili

Daily News

Klabu ya Chelsea inaelezwa imekaribia kufanya usajili wa beki wa klabu ya Fulham anayefahamika kama Tosin Adarabioyo anayekipiga kama beki wa katikati ndani ya klabu hiyo kutoka London. Tosin Adarabioyo …

Tuchel Bado Anaipenda Chelsea

Daily News

Kocha wa klabu ya Bayern Munich ambaye amewahi kuifundisha klabu ya Chelsea Thomas Tuchel ameonesha wazi mahaba yake juu ya klabu yake hiyo ya zamani aliyoitumikia kwa mafanikio. Tuchel alipoulizwa …

Chelsea Yajipigia Westham Mkono

Daily News

Klabu ya Chelsea imetakata ikiwa katika dimba lao la Stamford Bridge baada ya kuibamiza klabu ya Westham United kwa jumla ya mabao matano kwa bila katika mchezo wa ligi kuu …

Chelsea Majanga Matupu

Daily News

Klabu ya Chelsea imeendelea kuandamwa na majanga kwani wachezaji wake muhimu wanaendelea kupata majeraha ambapo wachezaji wawili wa klabu hiyo wamepata majeraha tena. Kiungo Enzo Fernandez na beki Axel Disasi …

Chelsea Majeraha Yaendelea Kuwaandama

Daily News

Klabu ya Chelsea imeendelea kuandamwa na majeraha katika kikosi chao haswa katika wachezaji ambao wanaunda kikosi cha kwanza cha klabu hiyo. Beki wa kushoto wa klabu hiyo ambaye ni nahodha …

Chelsea Mawindoni kwa Nico Williamns

Daily News

Klabu ya Chelsea imeingia mawindoni kumtafuta winga wa klabu ya Athletic Club ya nchini Hispania mwenye asili ya Ghana Nico Williams ambaye anafanya vizuri klabuni hapo kwasasa. Winga huyo inaelezwa …

Chelsea Bado Wanajipigia Tu

Daily News

Unaweza kusema bado wanajipigia ndio kauli ambayo unaweza kuitumia kwa klabu ya Chelsea, Kwani leo tena wamepoteza mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya klabu ya Everton. Chelsea wamejikuta …

1 2 3 4 179 180 181