WAAMUZI BONGO WAPORWA BEJI ZA FIFA
Waamuzi wawili wa soka kutoka nchini Tanzania waliokuwa na beji ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Jonesia Rukyaa na Sudi Lila hawatachezesha tena mechi za kimataifa za Fifa na CAF …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Waamuzi wawili wa soka kutoka nchini Tanzania waliokuwa na beji ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Jonesia Rukyaa na Sudi Lila hawatachezesha tena mechi za kimataifa za Fifa na CAF …
Golikipa wa klabu ya Manchester United Andre Onana raia wa kimataifa wa Cameroon amefanikiwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwnaia tuzo ya golikipa bora wa mwaka wa Fifa. Orodha ya magolikipa …
Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola ameingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya kocha bora wa mwaka akiwa na makocha wengine wanne. Pep Guardiola anaungana na makocha wengine …
Klabu ya Manchester City imetawala tena kwenye orodha ya wachezaji wa kiume wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Fifa ambazo zinatarajiwa kutolewa hivi karibuni. Manchester City imefanikiwa kutoa …
Rais wa FIFA Gianni Infantino amedokeza kwamba Uingereza inaweza kuzuiwa kutazama Kombe la Dunia la Wanawake mwaka huu isipokuwa warushaji wa matangazo wataboresha matangazo hayo. Odds kubwa za soka unazipata …
Shakhtar Donetsk wamewasilisha malalamiko yao dhidi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa Kamisheni ya Ulaya, wakidai uamuzi wa kuwaruhusu wachezaji wao wa kigeni kusimamisha kandarasi zao umewagharimu Euro …
Tottenham wamewasiliana na FIFA kwa ufafanuzi zaidi wa dharura baada ya kuongeza muda wa kufungiwa kwa Fabio Paratici duniani kote bila taarifa ya mapema kwa klabu. Paratici alikuwa …
Gianni Infantino amechaguliwa tena kwa muhula mwingine kuwa rais wa FIFA baada ya kupita bila kupingwa. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- …
Alexia Putellas ametawazwa kuwa Mchezaji Bora wa FIFA kwa Wanawake huku, akiwanyima wawakilishi wa kike wa Uingereza kung’ara katika sherehe za hapo jana. Sarina Wiegman na Mary Earps hapo …
Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain na Argentina Lionel Messi ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA kwa Wanaume kwa mara ya pili. Messi alipata ushindani kutoka kwa mchezaji mwenzake Kylian …
Lionel Messi, Lionel Scaloni na Emiliano Martinez wameng’ara hapo jana kwa Argentina katika hafla ya Tuzo Bora za FIFA huko Paris. Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Messi alitawazwa kuwa mchezaji …
Real Madrid wanatazamia kushinda taji lao la tano la Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA wikendi hii lakini lazima kwanza waipige Al Ahly Jumatano Februari 8, 20223 ili kujikatia …
Kiungo wa Yanga Feisal Salum Feitoto kwenye sakala na klabu yake kuhusiana na yeye kusalia na timu hiyo. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa. Baada ya …
Kipa wa Argentina, Emiliano Martinez alishinda glovu ya dhahabu kama mlinda mlango bora kwenye Kombe la Dunia nchini Qatar, lakini akazua utata kutokana na kitendo chake cha kushangilia baada ya …
Rais wa FIFA Gianni Infantino alionekana akipiga picha ya selfie karibu na jeneza la nyota wa soka Pele, ambaye matukio yake yanafanyika nchini Brazil. Infantino alikuwa katika jiji la …
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, ana nia ya kufanya Kombe la Dunia kila baada ya miaka mitatu katika siku zijazo na pia anataka mashindano hayo yafanyike wakati wa baridi tena. …
Achraf Hakimi amepuuza uvumi kwamba alihusika katika ugomvi na Rais Gianni Infantino baada ya ripoti kupendekeza FIFA ilikuwa ikijaribu kuficha picha za tukio kati ya wawili hao. Tukio hilo …
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kabla ya fainali ya Kombe la Dunia la FIFA, rais wa shirikisho hilo, Gianni Infantino, amethibitisha tarehe na eneo la Kombe la Dunia …
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limethibitisha kuwa mpira mpya utatumika kwa ajili ya hatua ya fainali za Kombe la Dunia, ukichukua nafasi ya ule uliokuwepo ambao umetumika katika michuano yote …
Senegal watacheza na England katika hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia, lakini wamepigwa faini kabla ya kumenyana na Three Lions huko Qatar. Vijana wa Aliou Cisse walijikatia …