french open - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Raducanu Aondolewa French Open.

Daily News

  Kinda wa Tenisi Uingereza, Emma Raducanu ametolewa kwenye michuano ya French Open baada ya kushindwa kwa 3-6 6-1 6-1 na Aliaksandra Sasnovich katika raundi ya pili. French Open ndiyo …

Tsonga Kustaafu Baada ya French Open.

Daily News

  Mcheza Tenisi wa Ufaransa, Jo-Wilfried Tsonga ametangaza kustaafu kucheza tenisi ya kulipwa baada ya mashindano ya French Open kukamilika mwezi ujao.   Tsonga, 36, amekuwa na majeraha katika miaka …

French Open 2021 Ni Djokovic vs Tsistipas

Tennis

Hatimaye mashindano ya French Open 2021 kufikia tamati wikiendi hii. Upande wa wanaume, Novak Djokovic atachuana na Stefano Tsitsipas kwenye fainali. Djokovic alikuwa uwanjani kuchuana na mpinzani wake wa muda …

French Open 2021, Krejcikova vs Pavlyuchenkova

Tennis

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, fainali ya mashindano ya French Open 2021 kuwakutanisha wachezaji wawili ambao pengine hawakupewa nafasi ya ushindi mwaka huu. Barbora Krejcikova uso kwa uso na Anastasia Pavlyuchenkova. …

Serena Williams: Tunaingiaje French Open?

Tennis

Bado matokeo yanaendelea kwenye kinyume na uwezo wa Serena Williams kuelekea mashindano ya French Open. Baada ya kutolewa mapema kwenye mashindano ya Italian Open, Williams alikubali kupewa kadi maalumu ya …

French Open 2021 Kughairishwa.

Tennis

Hali sio shwari nchini Ufaransa kufuatia ongezeko la visa vya COVID-19. Mashindano ya French Open 2021, hatarini kughairishwa. Taarifa hii inatokana na tamko la waziri wa Michezo wa Ufaransa, Roxana …

1 2 3 4 5