gwambina - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Pan African Kuivaa Gwambina kesho

SOKA LA BONGO

Kikosi cha Pan African kinatarajia kushuka dimbani kesho jumamosi kumenyana na Gwambina kwenye mchezo wa ligi ya Championship. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Mej. Generali Isamuhyo. Timu hizo …

Mwenyekiti Gwambina Aachia Ngazi.

Daily News

  Mwenyekiti wa Gwambina FC, Omary Mmasi amejiuzuru nafasi hiyo huku ikiwa haijatajwa sababu za kiongozi huyo kung’atuka. Gwambina ambayo inashiriki Ligi Kuu kwa msimu wake wa kwanza inahaha sana …

Mwinyi Zahera Atua Gwambina

Champions League

Aliyekuwa kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera ametambulishwa rasmi ndani ya klabu ya Gwambina FC yenye maskani yake Misungwi mkoani Mwanza. Usajili wa mwaka huu umeonekana kuwa na msisimko mkubwa hali …

Pan African Wana Jambo Lao Jumamosi

SOKA LA BONGO

Kikosi cha Pan African kinachoshiriki ligi ya Championship kinatarajia kucheza mechi ya mzunguko wa 10 dhidi ya Copco. Tangu Kocha Mkuu, Iddy Cheche akichukue kikosi hicho amefanikiwa kupata ushindi katika …

Kocha Pan Aitangazia Vita JKT

SOKA LA BONGO

Kocha Msaidizi wa Pan African, Daudi Macha amesema kuwa mipango yao ni kupata ushindi kwenye mchezo wao wa ligi ya Championship dhidi ya JKT Tanzania. Mchezo huo wa ligi utapigwa …

Pan Yamtangaza Cheche

Daily News

UONGOZI wa klabu ya Pan African inayoshiriki ligi ya Championship imemtangaza Iddy Cheche kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho. Pan jana jumanne ilitangaza kuvunja benchi lao la ufundi likiongozwa na …

Ken Gold Yaanza Tizi

Daily News

Baada ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Pamba kwa bao 1-0, kikosi hichoΒ  cha Ken Gold kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Gwambina.   …

Nabi Anavyoibadili Yanga Kuwa Tishio.

Daily News

  Kocha mkuu wa Yanga, Nasredine Nabi anatengeneza rekodi yake katika kikosi hicho baada ya kuwa na wakati mzuri tangu aliporithi mikoba ya Cedric Kaze “Kazelona” aliyetimuliwa. Nabi alijiunga na …

Mozinzi Na Nado Watupia 2, VPL Imenoga

VPL

Usiku wa jana ulikuwa maalum kwa Azam Fc, ambapo wachezaji wake wawili, Mpiana Mozinzi na Seleman Nado ambao walitupia mabao mawili kila mmoja na kuhakikisha ushindi wa 4-1 kwa Azam …

Yanga Kumng’oa Bryson KMC.

Daily News

  Taarifa za uhakika kutoka ndani ya klabu ya Yanga kuwa wapo kwenye harakati za kumsaini beki wa kushoto wa KMC, David Bryson. Bryson amekuwa akiitwa katika kikosi cha Taifa …

David Brayson Kutua Yanga

Champions League

Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga kuwa wapo kwenye harakati za kumsaini beki wa kushoto wa KMC, David Brayson. Bryson amekuwa akiitwa katika kikosi cha Taifa Stars tangu akiwa …

Simba Full, Kuifata Namungo

Champions League

Mabingwa watetezi wa VPL, Simba wameondoka Dar leo Ijumaa, kuelekea wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi watakapocheza mechi ya kiporo dhidi ya wenyeji wao Namungo ambao wametoka kushinda bao 1-0 mchezo …

1 2 3