henderson - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Southgate Akasirishwa na Henderson

Daily News

Β Kocha wa Uingereza, Gareth Southgate alishangaa wakati Jordan Henderson akiondoka uwanjani na kupiga kelele wakati wa ushindi wa Three Lions dhidi ya Australia.   Nahodha huyo wa zamani wa Liverpool …

Dean Henderson Aelekea Crystal Palace

Daily News

Golikipa wa klabu ya Manchester United Dean Henderson raia wa kimataifa wa Uingereza amekamilisha usajili wake wa kujiunga na klabu ya Crystal Palace baada ya kufikia makubaliano. Golikipa Dean Henderson …

Henderson Kutimka Liverpool

Daily News

Nahodha wa klabu ya Liverpool Jordan Henderson atatimka ndani ya klabu hiyo baada ya kuitumikia kwa muda mrefu na anadaiwa kutimkia Uarabuni msimu ujao. Henderson amekua kwenye kiwango kikubwa kwa …

Henderson Akosana na Klopp

Daily News

Paul Scholes amedai kuwa Jurgen Klopp na Jordan Henderson wametofautiana kutokana na kutokuwepo kwa nahodha wa Liverpool kwenye kikosi chao cha kuanzia. Haya yanajiri baada ya Henderson kuwekwa benchi wakati …

Henderson Kuwavaa Spurs OT.

Daily News

Kwa mara ya kwanza msimu huu, Dean Henderson anaweza kuitumikia Man United kwenye EPL. Anaanza na Tottenham Hotspur leo usiku. United watakua uwanjani kuchuana na Spurs ndani ya dimba la …

1 2 3 4 9 10 11