inter milan - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Dumfries Aongeza Mkataba Inter Milan

Serie A

Beki wa kimataifa wa Uholanzi Denzel Dumfries anayekipiga ndani ya klabu ya Inter Milan amefanikiwa kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka mwaka 2028. Beki Dumfries mkataba wake …

Taremi Ajiunga Inter Milan

Daily News

Inter wamethibitisha kuwa Mehdi Taremi amesaini mkataba na klabu hiyo hadi Juni 2027. Taremi ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Iran anajiunga na wababe hao wa Serie A baada ya …

Simeone Inzaghi Mpaka 2026 Inter Milan

Serie A

Kocha Simeone Inzaghi ataendelea kuwepo ndani ya viunga vya San Siro mpaka mwezi Juni 2026 baada ya kufanikiwa kuongeza mkataba wa kuendelea kuwepo klabuni hapo. Simeone Inzaghi amekubali kuongeza mkataba …

Inter Milan Yamsajili Zielinski

Serie A

Klabu ya Inter Milan mabingwa wa ligi kuu nchini Italia maarufu kama Serie A wamefanikiwa kumsajili kiungo wa zamani wa klabu ya Napoli Piotr Zielinski. Inter Milan katika kuhakikisha wanakiboresha …

Barella Kuongeza Mkataba Inter Milan

Serie A

Kiungo wa kimataifa wa Italia anayekipiga ndani ya klabu ya Inter Milan Nicolo Barella anatarajiwa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa ligi kuu nchini Italia Serie A. …

Inter Milan Wamkataa Mshambuliaji wa Chelsea

Serie A

Mkurugenzi wa klabu ya Inter Milan Ausilio amesema kua hawana mpango wa kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Armando Broja kwakua wanavutiwa na washambuliaji walionao klabuni hapo. Ausilio ameweka wazi …

Pavard Kukipiga Inter Milan Msimu Ujao

Serie A

Beki wa klabu ya Bayern Munich na timu ya tiafa ya Ufaransa Benjamin Pavard anatarajiwa kukipiga klabu ya Inter Milan ya nchini Italia ndani ya msimu huu. Benjamin ianaelezwa hayupo …

Inter Milan Wamfungia Kazi Scamacca

Serie A

Klabu ya Inter Milan imemfungia kazi mshambuliaji wa klabu ya West Ham Gianluca Scamacca ambaye amekua hapati nafasi ndani kikosi cha mabingwa hao Conference League. Inter Milan wana mpango wa …

Conte Kurejea Inter Milan

Daily News

Taarifa zinaeleza kua kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs raia wa kimataifa wa Italia Antonio Conte anajipanga kurejea ndani ya klabu ya Inter Milan ambapo aliondoka kabla ya kujiunga na …

Inter Milan Yapigwa Huko Serie A

Serie A

Klabu ya Inter Milan imepoteza mchezo leo katika ligi kuu ya Italia Serie baada ya kukubali kichapo cha bao moja kwa bila dhidi ya klabu ya Bologna iliyokua nyumbani katika …

Lukaku: Nataka Kusalia Inter Milan

Serie A

Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea aliopo kwa mkopo kwenye klabu ya Inter Milan Romelu Lukaku ana mpango wa kusalia Inter Milan baada ya mkopo wake kumalizika. Mshambuliaji huyo ambaye yupo …

1 2 3 4 58 59 60