italian open - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Djokovic Bingwa Italian Open.

Daily News

  Novak Djokovic ametwaa taji lake la kwanza katika kipindi cha miezi sita baada ya kumshinda Stefanos Tsitsipas kwa seti 6-0 7-6 (7-5) na kushinda taji la Italian Open siku …

Italian Open: Djokovic na Nadal Wanaongoza

Tennis

Mashindano ya Italian Open yanaendelea kwa kasi. Magwiji, Novak Djokovic na Rafael Nadal wanaendelea kuonesha umwamba wao kunako mchezo wa tenesi. Katika mchezo uliochukua masaa mawili. Djokovic alionesha ubora wake …

Bottas Ampiku Hamilton Italian GP.

Daily News

  Valtteri Bottas alifanya vyema katika raundi ya mwisho na kuwapa changamoto Lewis Hamilton na Max Verstappen kuongeza kasi katika nafasi ya kufuzu mbio za Italian GP na kuongoza kuelekea …

Mashabiki Kurejea Italian GP

Daily News

Mashabiki wa mbio za magari Italia wanatarajia kuanza kufurahia tena burudani ya michezo biyo baada ya kuwepo kwa mpango wa kuruhusu mashabiki kuanzia mwezi Septemba. Michuano ya mwaka jana ya …

Serena Williams: Tunaingiaje French Open?

Tennis

Bado matokeo yanaendelea kwenye kinyume na uwezo wa Serena Williams kuelekea mashindano ya French Open. Baada ya kutolewa mapema kwenye mashindano ya Italian Open, Williams alikubali kupewa kadi maalumu ya …

Pliskova Atemwa Nje French Open

Football

Michuano ya French Open inaendelea kupamba moto huku baadhi ya mastaa wakijipata wanatolewa baada ya kuruhusu kichapo kwenye michuano hii. Karolina Pliskova ameshindwa kutoboa kwenye raundi ya tatu na kuruhusu …

Andy Murray Kujifua na Novak Djokovic.

Tennis

Baada ya kukaa nje ya uwanja toka mwezi Machi, aliyewahi kuwa mchezaji namba moja (kwa wanaume) duniani, Andy Murray anatarajia kuanza kujifua wikiendi hii. Murray atasafiri kuelekea Rome-Italia ambapo anatarajia …

Sare ya San Siro Yaisaidia Napoli

Serie A

Inter walilazimika kutoka sare ya 2-2 nyumbani dhidi ya Bologna inayojitahidi katika Serie A usiku wa jana, huku Santiago Castro, Denzel Dumfries, Lautaro Martinez, na Emil Holm wakileta mchezo wa …

1 2 3 4 5 6