kagera sugar - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

YANGA WANA KAZI NA KAGERA SUGAR

SOKA LA BONGO

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wanatarajiwa kumenyana na Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kuwa Yanga haijapoteza mchezo wowote msimu wa …

KAGERA SUGAR WAANZA NA VIPONDO

SOKA LA BONGO

FUNDO za walima miwa Kagera Sugar zinakatwa na wapinzani wao kila wanaposhuka uwanjani kwa kukwama kukomba pointi kwenye mechi mbili mfululizo za ligi ambazo ni dakika 180. Kagera Sugar chini …

Yondani Kutimkia Kagera Sugar

SOKA LA BONGO

Beki wa klabu ya Geita Gold ya mkoani Geita Kelvin Yondani anatajwa kufikia hatua za mwisho kumalizana na wakata miwa wa mkoani Kagera klabu ya Kageta Sugar. Yondani ambaye ameitumikia …

Azam Kuwafuata Kagera Sugar

SOKA LA BONGO

Mechi nyingine ya Ligi kuu inatarajiwa kupigwa kesho majira saa 1:00 usiku Azam watakuwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba.   Azam wapo nafasi ya pili ya …

1 2 3 4 8 9 10