kaizer chief - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Nabi Mambo Magumu Kaizer Chiefs

SOKA LA BONGO

Taarifa kutoka Afrika kusini zimethibitisha kuwa Hakuna Uwezekano tena wa Kocha Nasreddine Nabi kujiunga na klab ya Kaizer Chiefs na tayari Muwakilishi wa kocha huyo aliyekuwa Afrika Kusini tayari ameondoka …

Fiston Mayere kweli Asaini Kaizer Chief?

Daily News

Nyota mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Fiston Mayere ameteka mitandao ya kijaamii kutokana na tetesi ambazo zimekuwa zikisambazwa kuwa tayari ameshasajiriwa na klabu inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini …

Stuart Baxter Kocha Kaizer Chiefs Mpaka 2023

PSL

Kaizer Chiefs wamemtangaza Stuart Baxter kuwa kocha mpya wa timu hiyo akisaini kandarasi ya miaka miwili kuinoa timu hiyo yenye maskani yake Soweto. Stuart Baxter (67) amewahi kuinoa Kaizer Chiefs …

Kisa Simba Kaizer Chiefs Yafukuza Kocha

CAF

Kaizer Chiefs imevunja mkataba wa aliyekuwa kocha wake Gavin Hunt. Kocha huyo alijiunga na Kaizer Chiefs September 2020 na kuifundisha timu hiyo katika msimu wa 2020/21. Ikumbukwe chini ya Hunt …

Mkude Kuwakosa Kaizer Chiefs

Sport Today

Uwezekano wa kiungo wa Simba, Jonas Mkude kucheza mechi ya kesho dhidi ya Kaizer Chiefs haupo. Si mmoja ya wachezaji waliokuwa kambini tangu waliporejea kutoka Afrika Kusini kucheza mechi ya …

Kaizer Chiefs Hofu Dhidi ya Simba

Daily News

Kocha mkuu wa Kaizer Chiefs, Gavin Hunt amezungumzia mipango yake juu ya jinsi anavyotarajia kumaliza matumaini ya Simba kurejea katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi …

Gomes: Kaize Chiefs Ajipange

Champions League

​​​​​​​Kuelekea mchezo wao wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utakaochezwa kesho, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amesema ana matarajio …

Kaizer Wataalam wa Mechi Ngumu

Sport Today

Kitu kinachoshangaza kuhusu timu Kaizer Chiefs ni ukweli licha ya kwamba imekuwa na msimu mbovu Afrika Kusini ikiwemo kufungwa na timu ndogo lakini wameshinda mechi mbili ngumu za kupania. Msimu …

1 2 3 4 5