League 1 Kuchukua Hatua Zitakazo Wadhibiti PSG Kifedha
Taarifa inatajakuwa Ligue 1 itachukua hatua kudhibiti fedha za Paris Saint-Germain. Kwa mujibu wa L’Equipe, kama ilivyoripotiwa na Diario AS, DNCG, chombo cha kifedha kinachosimamia akaunti za vilabu vya Ufaransa, …