leicester city - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Potter Kuibukia Leicester City

Daily News

Kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea raia wa kimataifa wa Uingereza Graham Potter anahusishwa kwa karibu kujiunga na klabu ya Leicester City kuelekea msimu ujao wa 2024/25. Klabu ya …

Sarri Havutiwi Kuinoa Leicester City

Daily News

Mkuu wa uhamisho wa Sportitalia Alfredo Pedullà anadai Leicester City wamemtafuta Maurizio Sarri, lakini kocha huyo wa zamani wa Lazio anasubiri ofa bora zaidi. Sarri aliamua kuondoka Lazio mwezi Machi …

Leicester City Yamtimua Brendan Rodgers

Daily News

Klabu ya Leicester City inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza imeamua kuachana na kocha wake aliyekua anaitumikia klabu hiyo Brendan Rodgers baada ya kupata matokeo mabaya kwenye ligi hiyo. Leicester City …

Arsenal Yaipasua Leicester City

Daily News

Klabu ya Arsenal imeendelea kujiimarisha kileleni baada ya kuitandika klabu ya Leicester City katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliopigwa katika dimba la King Power jioni hii. Goli la …

1 2 3 4 33 34 35