lille - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Weah Amejiunga na Juventus Kutoka Lille

Daily News

Juventus wamefikia makubaliano kamili ya kumsajili Timothy Weah ambaye atafanyiwa vipimo vya afya na Bianconeri siku zijazo.   Romeo Agresti na Fabrizio Romano wanathibitisha kuwa Bibi kizee wamefikia makubaliano na …

Milan Wanamtamani Nyota wa Lille David

Daily News

Milan wanajua kwamba uimarishaji mkali unahitajika kwenye mstari wao wa mbele na wameripotiwa kumfanya Jonathan David wa Lille kuwa mmoja wa walengwa wao wakuu.   The Rossoneri wamekubali kusaini mkataba …

Marseille Kuwakaribisha Lille

Daily News

Klabu ya Marseille inatarajia kuikaribisha klabu ya Lille hii leo katika mzunguko wao wa saba ambapo timu nyingine zikiwa zimeshacheza mechi zao za saba. Mechi za mwisho kukutana timu hizi …

Lille Yatwaa Taji La Ligue 1

News

Hatima ya ubingwa wa Ligue 1 ilitegemea mechi za mwisho kuamua nani atainua kombe hilo. Vita kubwa ilikuwa ni kati ya Lille na PSG ambao walitegemewa sana kufanikisha mbio hizo …

Gabriel Ruksa Kuondoka Lille

Daily News

Baada ya kuonesha matamanio ya kuongeza uwezo wake kunako soka la Ulaya. Hatimaye Gabriel Magalhaes  ameruhusiwa kuondoka Lille. Inasemakana uwezekano wa beki huyo kucheza kunako Ligi Kuu Uingereza – EPL …

Lille Yamsaini Mkongwe Burak Yilmaz.

Daily News

Klabu ya Lille inayo shiriki ligue 1 nchini Ufaransa imeanza kazi ya kuijenga timu hiyo baada ya kuondoka kwa Victor Osimhen aliyehamia Napoli na kumsajili mshambuliaji wa Uturuki Burak Yilmaz. …

1 2 3 4 11 12 13