madrid - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Arda Guler Hataki Kuondoka Madrid

La Liga

Kiungo kinda wa kimataifa wa Uturuki anayekipiga ndani ya klabu ya Real Madrid Arda Guler ameripotiwa kua hana mpango wowote wa kuondoka ndani ya miamba hiyo ya soka nchini Hispania. …

Real Madrid kwa Davies Kwao

Bundesliga

Klabu ya Real Madrid unaweza ukasema kazi imebaki kwao tu kwa beki raia wa kimataifa wa Canada anayekipiga kwa mabingwa wa Ujerumani klabu ya Bayern Munich Alphonso Davies. Unaweza kusema …

Real Madrid Wanamvizia Trent

La Liga

Klabu ya Real Madrid wanaelezwa kuanza mawindo kwa beki wa kulia wa klabu ya Liverpool raia wa kimataifa wa Uingereza Tren Alexender Arnold ambaye mkataba wake uko mbioni kumalizika. Real …

Real Madrid Kumpa Mkataba Mpya Lunin

La Liga

Klabu ya Real Madrid inapanga kumpa mkataba mpya golikipa wake namba mbili raia wa kimataifa wa Ukraine Andriy Lunin ambaye kwasasa anafanya vizuri kwasasa klabuni hapo. Golikipa wa huyo wa …

Real Madrid Yamvizia Beki Lile

La Liga

Klabu ya Real Madrid inaelezwa inamfatilia kwa karibu beki hodari mwenye umri  wa miaka 18 anayekipiga klabu ya Lile ya nchini Ufaransa akifahamika kama Leny Yoro. Real Madrid inamfukuzia kwa …

Real Madrid Hawatasajili Januari

La Liga

Klabu ya Real Madrid hawana mpango wa kusajili mchezaji yeyote katika dirisha dogo la mwezi Januari, Hili limethibitishwa na kocha wa klabu hiyo Carlo Ancelotti leo akiongea na waandishi wa …

1 2 3 4 179 180 181