man city - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Cancelo Aitolea Uvivu Man City

Daily News

Beki wa klabu ya Man City anayekipiga klabu kwa mkopo klabu ya Barcelona Joao Cancelo ameitolea uvivu klabu yake ya City kutokana na tuhuma ambazo amekua akitupiwa. Cancelo ambaye anakipiga …

Mourinho Atupa Dongo Man City

Serie A

Kocha wa klabu ya As Roma Jose Mourinho ametupa dongo kwa klabu ya Manchester City juu ya kiungo raia wa kimataifa wa Uingereza anayekipiga klabuni hapo Kalvin Phillips. Jose Mourinho …

Kalvin Phillips Kutimka Man City

Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Uingereza Kalvin Phillips anafikiria kutimka ndani ya klabu hiyo katika majira ya baridi ya mwezi Januari. Kiungo Kalvin Phillips …

Chelsea Wahamia kwa Kinda wa Man City

Daily News

Klabu ya Chelsea imehamishia nguvu kwa mchezaji kinda wa klabu Manchester City ambaye anacheza nafasi ya kiungo wa ushambuliaji anayejulikana kama Cole Palmer. Klabu ya Chelsea mpaka sasa inaripotiwa kufanya …

Man City Yamuwinda De Jong

Daily News

Klabu ya Man City inamuwinda kiungo wa klabu ya Fc Barcelona ya nchini Hispania Frenkie de Jong raia wa kimataifa wa Uholanzi ili kuboresha kikosi chao kuelekea msimu ujao. Klabu …

Kovacic Kutimkia Man City

Daily News

Kiungo wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Croatia Matteo Kovacic inaelezwa yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Manchester City kwajili ya kutimkia klabuni hapo kwenye dirisha hili …

1 2 3 4 166 167 168