Manchester United Vs Spurs Battle ya Vibonde
Kutoka kua mchezo wenye mvuto na ushindani mkubwa mpaka sasa umegeuka kua mchezo ambao unazikutanisha timu zilizopo kwenye nafasi za chini kwenye msimu wa ligi kuu ya Uingereza ni Manchester …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Kutoka kua mchezo wenye mvuto na ushindani mkubwa mpaka sasa umegeuka kua mchezo ambao unazikutanisha timu zilizopo kwenye nafasi za chini kwenye msimu wa ligi kuu ya Uingereza ni Manchester …
Leo unapigwa mchezo mkali pale kwenye ligi kuu ya Uingereza ambapo unakutanisha timu mbili kutoka jiji moja yaani Manchester derby ambapo Man city watakua nyumbani kuwakaribisha majirani zao Man United. …
Klabu ya Manchester United baada ya kuachana na mkurugenzi wake wa michezo raia wa kimataifa wa Uingereza Dan Ashowrth inaelezwa kwasasa wanamfukuzia mkurugenzi wa michezo wa Atletico Madrid ya nchini …
Huu ni mwaka wa shetani kwa klabu ya Manchester City na kocha Pep Guardiola kwani leo tena mbele ya klabu ya Liverpool wamekubali kichapo cha mabao mawili kwa bila katika …
Manchester United ya asali na maziwa imerejea ndio kauli pekee unaweza kuitumia kwasasa ambapo klabu hiyo leo imetimiza mchezo wake saba bila kupoteza kwenye michuano yote baada ya kuibamiza Everton …
Klabu ya Manchester City bado inaendelea kuandamwa na jinamizi la majeruhi kwenye kikosi chao baada ya jana kuongeza mchezaji mwingine kwenye orodha ya wachezaji ambao wana majeraha baada ya winga …
Manchester United katika mchezo wa kombe la Carabao Cup wamefanikiwa kupata ushindi wa mabao matano kwa mawili dhidi ya klabu ya Leicester City ikiwa ni mchezo wa kwanza wa kocha …
Klabu ya Manchester City itakua na mkurugenzi mpya wa michezo kuanzia mwezi Juni mwaka 2025 baada ya mkurugenzi wao wa michezoTxiki Begiristain kutangaza kuachana na klabu hiyo mwishoni mwa msimu …
Klabu ya Manchester United ipo kwenye mazungumzo na kiungo wake kinda mwenye umri wa miaka (19) Kobbie Mainoo raia wa kimataifa wa Uingereza ambaye anafanya vizuri ndani ya klabu hiyo …
Mabosi wa klabu ya Manchester United wameendelea na vikao kwa siku ya pili mfululizo wakijadili hatma ya kocha wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Uholanzi Erik Ten Hag ambaye …
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City wamesare mchezo wa pili mfululizo kwenye ligi kuu ya Uingereza baada ya kulazimishwa sare ya goli moja kwa moja …
Mchezo wa kibabe kati ya vilabu bora kwasasa nchini Uingereza kati ya klabu ya Manchester City dhidi ya Arsenal umemalizika kwa sare ya magoli mawili kwa mawili mchezo uliopigwa katika …
Klabu ya Manchester United inaelezwa ina mpango wa kumsajili kiungo wa zamani wa klabu ya Juventus raia wa kimataifa wa Ufaransa Andrien Rabiot kwa mipango ya muda mfupi kwa dili …
Uongozi wa klabu ya Manchester United chini ya mkurugenzi mkuu wa klabu hiyo Omar Berrada wameweka wazi kua wana imani kubwa na kocha wa klabu hiyo mdachi Erik Ten Hag …
Klabu ya Manchester United imemuuza kiungo wake kinda mwenye kipaji kikubwa kwenda klabu ya Legia Warsaw ya nchini Poland baada ya kukaa klabuni hapo kwa muda mrefu. Maxi Oyedele mwenye …
Aliyekua kiungo wa klabu ya Barcelona Ilkay Gundogan amerejea klabu ya Manchester City baada ya kukaa nje ya klabu hiyo kwa muda wa mwaka mmoja pekee. Gundogan ambaye ameitumikia Manchester …
Klabu ya Manchester United leo itaufungua msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2024/25 wakikipiga dhidi ya klabu ya Fulham mchezo utakaopigwa katika dimba la Old Trafford. Manchester United baada …
Leo hii August 6 ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL inaanza rasmi hapo baadae majira ya saa 4:00 usiku ambapo Manchester United chini ya Erik Ten Hag watakipiga dhidi …
Klabu ya Manchester United inaelezwa bado inawapigia hesabu mabeki wawili wa klabu ya Fc Bayern Munich Noussair Mazraoui na Mathijjs De Ligt kuelekea mwishoni wa dirisha hili. Mazungumzo yanaendelea baina …
Klabu ya Manchester United inaelezwa kuwinda saini ya kiungo wa klabu ya Burnley ambayo imeshuka daraja Sander Bergre raia wa kimataifa wa Norway kuelekea msimu mpya wa 2024/25. Manchester United …