manchester - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Manchester United Kusajili Beki wa Kushoto

Daily News

Klabu ya Manchester United inaelezwa itaingia sokoni kutafuta beki wa kushoto ambaye atakuja kusaidiana kazi na beki wa kimataifa wa Uingereza klabuni hapo Luke Shaw. Manchester United inaelezwa wanapanga maboresho …

Manchester United Kuchinja Kumi

Daily News

Klabu ya Manchester United inaelezwa ina mpango wa kuachana na wachezaji wasiopungua kumi kuelekea dirisha kubwa la mwezi Juni, Katika kuhakikisha wanajenga timu mpya. Uongozi mpya wa klabu ya Manchester …

Manchester City Yaona Mwezi

Daily News

Klabu ya Manchester City leo wameona mwezi baada ya kufanikiwa kupata ushindi dhidi ya klabu ya Luton Town katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza. Manchester City baada ya kutopata …

Manchester United Yatamba Novemba Epl

Daily News

Klabu ya Manchester United imefanikiwa kutawala tuzo za ligi kuu ya Uingereza ambapo wamefanikiwa kuchukua tuzo tatu katika ligi hiyo kwa mwezi Novemba. Manchester United imetwaa tuzo ya mchezaji bora …

Manchester United Yawapiga Pini Waandishi

Daily News

Klabu ya Manchester United imeeleza kua imewapiga marufuku baadhi ya waandishi na vyombo vya habari nchini Uingereza kutokana na kuchapisha habari bila kuwasiliana na klabu. Manchester United imeweka wazi kua …

Manchester United Majanga Matupu

Daily News

Baada ya kuambulia suluhu katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Galatasaray,  Jana Manchester United wameendelea walipoishia kwani wamepoteza mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Newcastle …

Manchester United Yashinda Kibabe

Daily News

Klabu ya Manchester United imefanikiwa kupata matokeo ya ushindi kibabe wakiwa ugenini katika dimba la Goodson Park baada ya kuitandika Everton kwa mabao matatu kwa bila. Manchester United kwenye ubora …

Manchester City na Chelsea Hali Tete

Daily News

Klabu ya Manchester City na Chelsea wako kwenye kipindi kigumu kwasasa baada ya klabu ya Everton kupokonywa alama 10 baada ya kuvunja sheiria za matumizi ya fedha. Everton wamepokwa alama …

Manchester United Majanga Tu

Daily News

Klabu ya Manchester United imeendelea kukubwa na majanga na hiyo ni baada ya golikipa wake namba moja Andre Onana kupata majeraha akiitumikia timu yake ya taifa ya Cameroon. Andre Onana …

Manchester United Inaendelea Kufanya Usafi

Daily News

Klabu ya Manchester United inaendelea kufanya usafi ndicho unachoweka kusema kwasasa baada ya taarifa kutoka kua mkurugenzi wa michezo klabuni hapo John Murtough anajiandaa kuondoka. Jana taarifa kutoka klabu ya …

Manchester United Kufanya Mapinduzi

Daily News

Klabu ya Manchester United inataka kufanya mapinduzi klabuni hapo na hiyo ni baada ya kung’atuka kwa mkurugenzi mkuu wa klabu hiyo mapema leo Richard Arnorld. Manchester United imekua kwenye kipindi …

1 2 3 4 281 282 283