mayweather - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Mayweather Ampiga kwa KO Mikuru

News

FLOYD MAYWEATHER alimtoa Mikuru Asakura katika raundi mbili za pambano lao la maonyesho, mbele ya mpinzani wa zamani Manny Pacquiao. Nyota wa Ufilipino, PacMan alisafiri hadi Saitama, Japan, kwa ajili …

MayWeather Ashinda Tsh 23.3M

News

Gwiji wa ndondi Floyd Mayweather alikuwa mmoja wa watu wachache waliopenda nafasi za Dmitry Bivol dhidi ya Saul Canelo Alvarez mapema mwaka huu. Nyota huyo wa Mexico alitarajiwa kuwa bingwa …

Nitampeleka Mayweather Jela -Logan Paul

Daily News

Mhamasishaji wa mtandao wa YouTube, Logan Paul amesema kuwa anatarajia kumpeleka bondia Floyd Mayweather Jela kwa kushindwa kukamilisha malipo yake. Logan Paul na Floyd Mayweather walikutana ulingoni Juni mwaka 2021, …

Mayweather Anataka Kumsaini Terence Crawford

Boxing

Bondia mkongwe Floyd Mayweather amefunguka kiu yake ya kutaka kumsajili bondia huru  Terence Crawford baada ya mwanamasumbwi huyo kumaliza kandarasi yake na Top Rank mwaka uliyopita. Akiongea na Ben Thompson …

Mayweather Kurejea Uwanjani Mwezi Mei.

Daily News

Bondia mstaafu, Floyd Mayweather anatarajiwa kurejea ulingoni mnamo Mei 14, 2022 kupigana na Don Moore katika Pambano la raundi nane la maonyesho litakalofanyika Dubai.   Mayweather, 45 atapigana na mpinzani …

Mayweather Anaweza Kurejea Ulingoni Huko Dubai

Boxing

Bondia mstaafu Floyd Mayweather anaweza kurejea ulingoni kwa kuzichapa na Badou Jack huko Dubai na alisema kwamba mazungumzo yanaendelea kwaajili ya kufanikisha tukio hilo. Mazungumzo kuhusu pambano lake na bondia …

Jeffy: Namuona Mayweather Mwingi kwa Canelo

Boxing

Njomba wa Mayweather Jr, Jeffy Mayweather amemsimfu sana bondia kwa kukua katika mchezo wa ndondi na akithubutu kumringanisha na mpwa wake. Saul Canelo Alvarez anajiandaa kukabiliana na Dmitry Bivol siku …

Mayweather, Logan Paul Hakuna Mbabe.

News

  Mbabe wa masumbwi Floyd Mayweather Jr amekutana na kisiki asichokitarajia cha Logan Paul katika pambano la ndondi la kujiburudisha lililomalizika bila kupatikana mshindi. Paul, ambaye ni maarufu kwenye mtandao …

Ndondi: Mayweather vs Paul ni Juni 6.

Boxing

Bingwa wa dunia mara 5 kwenye mchezo wa ndondi, Floyd Mayweather atapanda ulingoni safari hii kuchuana na mtaalamu wa YouTube, Logan Paul. Mpambano wa Mayweather vs Paul ulipangwa kufanyika Februari …

‘Mayweather, Amestaafu lakini yupo Mchezoni!

Boxing

Floyd Mayweather ametangaza kustaafu mara tatu! Ni bondia ambaye amejijengea umaarufu mkubwa kwa uwezo wake ulingoni akifanikiwa kushinda mapambano yake yote 50 aliyopambana. Pia amejizolea umaarufu zaidi kwa utajiri alionao, …

1 2 3