monte carlo - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Cameron Norrie OUT Monte Carlo Masters.

Daily News

  Mchezaji wa Tenisi namba moja kwa ubora Uingereza, Cameron Norrie ametolewa kwenye mashindano ya Monte Carlo Masters baada ya kufungwa seti tatu na mhispania Albert Ramos-Vinolas.   Ramos-Vinolas anayeshika …

Daniil Medvedev Kuikosa Monte Carlo Masters

Tennis

Mchezaji wa tenesi namba 2 kwa ubora duniani (wanaume) – Daniil Medvedev, atakosekana kwenye mashindano ya Monte Carlo Masters baada ya kukutwa na maambukizi ya COVID19. Medvedev amewekwa kwenye uangalizi …

Carlos Tevez- Nabii Anae Kubalika Kwao

Football

Wakati Argentina wanapewa uenyeji wa Kombe la dunia 1978 walihitaji utulivu mkubwa kwenye Jiji la Buenos Aires, ndipo Dikteta Juan Carlos Ongania aliagiza maskini wote watolewe katikati ya jiji na …

Andrey Rublev Bingwa Serbian Open.

Daily News

  Mcheza Tenisi wa Urusi, Andrey Rublev amefanikiwa kutwaa ubingwa wa Serbian Open baada ya kumfunga mchezaji namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic katika fainali mjini Belgrade. Djokovic alicheza …

Novak Djokovic Kuikosa Madrid Open 2021.

Tennis

Mchezaji namba 1 kwa ubora duniani (mchezo wa tenesi kwa wanaume), Novak Djokovic, hatotetea ubingwa wake wa Madrid Open baada ya kujitoa kwenye mashindano ya mwaka huu. Djokovic ameomba radhi …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema kiungo wa kati Mjerumani Sami Khedira, 33, anasema anaweza kuhamia katika Primia Ligi wakati mkataba wake na Juventus utakapoisha msimu huu. Mkataba wa kipa wa AC Milan Gianluigi …