namungo fc - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Erasto Nyoni Atua Namungo FC

SOKA LA BONGO

Klabu ya Namungo FC ambayo ina makazi yake Lindi imemtambulisha Erasto Nyoni kama mchezaji wao mpya baada ya mchezaji huyo kuagwa na klabu ya Msimbazi jana.   Nyoni ambaye anacheza …

Namungo FC Ndani ya Zambia

Daily News

Kikosi cha Namungo FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morroco leo Aprili 10 kimekwea pipa kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudio wa Kombe la Shirikisho dhidi ya …

ZAHERA AIBUKIA NAMUNGO

SOKA LA BONGO

Klabu ya Namungo imemtambulisha Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Baada ya aliyekuwa Kocha wa Timu hiyo Denis Kitambi kutimkia Geita Gold FC. Namungo kutokea mkoani Lindi, imemchukua …

Namungo Watoa Kauli ya Kibabe

Daily News

UONGOZI wa Namungo FC umeeleza ukimya unaoendelea kwao ni mchakato wa kukimbizana na dirisha dogo la usajili ili waweze kufanya jambo litakaloendelea kuwapa mashabiki wao furaha zaidi. Wakati timu nyingi …

Namungo Hesabu Zao Zimekaa Hivi

SOKA LA BONGO

KOCHA Mkuu wa Namungo FC Dennis Kitambi amesema kuwa wanaimani kubwa ya kupata matokeo mazuri kwenye mchezo ujao wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi …

AZAM FC Wapo Kwenye Dozi Nzito

SOKA LA BONGO

MASTAA wa Azam FC wameendelea na program maalumu kwa ajili ya kuwakabili wapizani wao Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye mchezo wao ujao wa ligi. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika …

Simba Yaifuata Namungo Lindi

SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba imeanza safari hii leo ya kuifuata Namungo FC kwaajili ya mchezo wao wa ligi kuu ya NBC ambao unatarajiwa kupigwa siku ya Jumatano katika dimba la Majaliwa. …

Namungo Apasuka Nyumbani Kwake

SOKA LA BONGO

Klabu ya Namungo FC imepoteza mchezo wake hapo jana wlaiokuwa wakicheza dhidi ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara katika dimba la Majaliwa majira ya saa …

1 2 3 4 6 7 8