nba - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Lebron James Bingwa Kabisa NBA

Basketball

Staa wa mchezo wa kikapu kutoka nchini Marekani Lebron James amefanikiwa kuweka rekodi ya kua mfuingaji bora wa muda wote kwenye ligi kuu ya kikapu Marekani maarufu kama NBA. Lebron …

Warriors Wanaukaribia Ubingwa NBA 2022

Basketball

Fainali ya NBA inazidi kunoga wakati huu ambao michezo 5 kati ya 7 imeshamalizika. Golden State Warriors wanaukaribia ubingwa msimu huu. Ushindi wa pointi 104-94, unawapa matokeo Warriors matokeo ya …

Celtics Watinga Fainali NBA

Basketball

Baada ya miaka 12, Boston Celtics wamefanikiwa kutinga fainali ya NBA baada ya kuwamwaga Miami Heats. Licha ya kupoteza michezo 2 ya mwanzo, Celtics walirejea mchezoni na kuipambania tiketi ya …

Jimmy Butler Apindua Meza NBA.

Basketball

Ngoma ngumu kunako fainali ya Eastern Conference kwenye NBA. Jimmy Butler akataa utumwa mbele ya Boston Celtics. Celtics waliingia uwanjani wakiwa wanaongoza kwa matokeo ya 3-2 baada ya michezo 5 …

Bucks Wavuliwa Ubingwa wa NBA.

Basketball

Kama ambavyo LA Lakers walivyoshindwa kutetea ubingwa wa NBA msimu ulioisha, Milwaukee Bucks wamevuliwa rasmi ubingwa msimu huu. Bucks walitwaa ubingwa wa NBA msimu ulioipita na wameendelea kufanya vizuri msimu …

Heats Watinga Nusu Fainali NBA 2022

Basketball

Burudani ya mchezo wa kikapu inaendelea kunoga viwanjani, Miami Heats imejihakikishia kucheza nusu fainali kunako Eastern Conference. Licha ya kuwakosa nyota wao ambao ni majeruhi kwa sasa, Heats wamefanikiwa kutinga …

Lakers Yatupwa Nje Kunako NBA.

Basketball

Safari ya matokeo mabaya kunako NBA msimu huu, imetamatika kwa LA Lakers kutupwa nje ya mashindano hayo kwa mwaka huu. Lakers wamejikuta wakimaliza mzunguko wa kwanza wakiwa nafasi ya 11 …

NBA; Irving Ni Moto Mkali!

Basketball

Songombingo za kugoma kuchanja chanjo ya Covid-19 zimemfanya akose baadhi ya michezo kwenye NBA. Lakini, Kyrie Irving ni wa moto… Wakati huu ambao James Harden ameondoka Brooklyn Nets na kujiunga …

NBA: Suns Yatinga Play-Offs.

Basketball

Ule wakati wa kuitizama kwa makini ligi ya kikapu ya NBA unawadia. Ni muda wa kuiangalia michezo ya mtoano (Play-Offs), burudani ipo huku!! Pande zote mbili za Ligi ya NBA …

NBA Kuanzisha Mashindano Mapya

Basketball

Kamishna wa NBA, Adam Silver, alisema siku ya Jumamosi kwamba matarajio ya kuunda mashindano mapya wakati wa msimu yanakubalika zaidi na wachezaji. Alisema hayo Katika mkutano wake wa na waandishi …

NBA: Lakers Walamba Ushindi vs Blazers.

Basketball

LA Lakers wamevunja mnyororo wa kupoteza michezo 3 mfululizo kunako NBA msimu huu. Portland Trail Blazers wameambulia kipigo Staples Centre. Lakers wameendelea kumkosa nyota wao – LeBron James ambaye anauguza …

NBA: Curry Aokoa Jahazi vs Rockets.

Basketball

Kabla ya kuingia uwanjani dhidi ya Houston Rockets, Golden State Warriors walikua wamepoteza michezo 6 mfululizo kwenye NBA. Almanusura wapoteze mchezo wa 7 mfululizo, Stephen Curry ameokoa jahazi. Matokeo ya …

NBA: Antetokounmpo Ang’ara vs Warriors.

Basketball

Burudani ya mchezo wa kikapu kunako Ligi ya NBA inaendelea! The Greek Beast, Giannis Antetokonumpo amekiwasha dhidi ya Golden State Warriors. Milwaukee Bucks walikuwa uwanjani wakichuana na Warriors katika muendelezo …

1 2 3 4 15 16 17