Nyumbani Tafuta

newcastle - matokeo ya utafutaji

Endapo haujapendezwa na utafutaji basi tafuta tena
newcastle

Newcastle Kuingia Sokoni Kutafuta Golikipa

0
Klabu ya Newcastle United watalazimika kuingia sokoni kwenye dirisha dogo la mwezi Januari kwajili ya kusajili golikpa mpya atakaevaa viatu vya Nick Pope aliyepata...

Neves Aikubali Newcastle Lakini Kuhamia Haiwezekani

0
Ruben Neves amekataa uwezekano wa kuhamia Newcastle Januari, akifichua kuwa "anataka kubaki" Al-Hilal.  Neves ambaye ni raia wa Ureno alijiunga na timu ya Saudi Pro...

Roma, Milan, Man Utd na Newcastle Wanamtupia Macho Guirassy

0
Roma, Milan, Newcastle United na Manchester United wanaripotiwa kuonyesha nia ya kutaka kumnunua mshambuliaji wa VfB Stuttgart Serhou Guirassy.  Kulingana na Footmercato, kumekuwa na mbinu...

Ten Hag Awataka United Kushikamana Baada ya Kuchapika na Newcastle

0
Erik ten Hag anakiri Manchester United wanacheza chini ya kiwango chao lakini akahimiza timu yake kushikamana baada ya kufungwa 3-0 na Newcastle katika raundi...
manchester united

Manchester United Kujipata kwa Newcastle Leo?

0
Klabu ya Manchester United leo watashuka dimbani kumenyana na klabu ya Newcastle United katika mchezo wa kombe la EFL raundi ya nne na swali...
newcastle

Newcastle Yathibitisha Tonali Kuchunguzwa kwa Mashtaka ya Kubeti

0
Klabu ya Newcastle United yathibitisha kua kiungo wake raia wa kimataifa wa Italia Sandro Tonali anachunguzwa na mamlaka nchini Italia juu ya sakata lake...
Guimaraes

Guimaraes Asaini Mkataba Mpya Newcastle

0
Klabu ya Newcastle United imemuongezea mkataba kiungo wake raia wa kimataifa wa Brazil Bruno Guimaraes mkataba wa miaka mitano ambapo atasalia klabuni hapo mpaka...

Wilson Afurahi Baada ya Newcastle Kushinda Mabao 8 Dhidi ya Sheff Utd

0
  Mshambuliaji wa Newcastle Callum Wilson hakuweza kuficha furaha yake baada ya kufunga bao na kuisaidia timu yake kuisambaratisha Sheffield United 8-0 katika uwanja wa...

Milan Wanapanga Mabadiliko ya UCL Dhidi ya Newcastle United

0
  Stefano Pioli anaripotiwa kupanga mabadiliko kadhaa kwa timu yake ya Milan kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Newcastle United, baada ya kushindwa...

Newcastle Yapata Ushindi Mwembamba

0
Ligi kuu ya Uingereza EPL ilichezwa michezo mbalimbali lakini kwa mchezo wa mwisho wa jana ni ulie ambao uliwakutanisha Newcastle United dhidi ya Brentford...

MOST COMMENTED

Unakwama Kuweka Pesa Meridianbet Kwa Airtel Money?

76
Mara zote jukumu letu ni kukupatia kilicho bora na kukutengenezea mazingira ya kuwa huru katika maamuzi yako. Sasa uko huru kufanya miamala yako ya...

HOT NEWS