Mashabiki wa Millwall Wafanya Fujo Mechi Kati ya Norwich Vs Millwall
Mashabiki wenye hasira wamefanya fujo juu ya ushindi wa Norwich, wa 2-0 dhidi ya Millwall huku polisi na wasimamizi wakilazimika kuingilia kati. Makombora machache ikiwa ni pamoja na viti, vilirushwa …