Mchezaji Yanga Afufukia Polisi
NYOTA wa Yanga, Joseph Guede, baada ya masimango mengi kutoka Kwa mashabiki kuwa hafungi, hatimaye amejibu maswali hayo mbele ya Polisi Tanzania jana usiku dhidi ya Polisi Tanzania ya Championship. …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
NYOTA wa Yanga, Joseph Guede, baada ya masimango mengi kutoka Kwa mashabiki kuwa hafungi, hatimaye amejibu maswali hayo mbele ya Polisi Tanzania jana usiku dhidi ya Polisi Tanzania ya Championship. …
Polisi wa Czech wamewaandikisha askari 250 zaidi kabla ya fainali ya Ligi ya Europa kati ya West Ham na Fiorentina mjini Prague. Polisi wa eneo hilo wanafanya kazi kwa …
Ligi kuu ya soka Tanzania bara inaendelea hii leo huku michezo yote ya raundi ya 29 kupigwa leo, ambapo mchezo wa saa 12:00 ni kati ya Simba dhidi ya Polisi …
MECHI mbili zimebaki kwa Simba kukamilisha ndani ya msimu wa 2022/23 ikiwa ni dakika 180. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa. Simba SC ipo nafasi ya …
Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea kwa mchezo mmoja leo ambapo Polisi Tanzania watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar huku kila timu ikihitaji ushindi wa pointi tatu. Polisi …
Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema ni huu unaowakutanisha kati ya Singida Big Stars dhidi ya Polisi Tanzania majira ya …
Mechi ya mwisho ya leo ya NBC ni kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Polisi Tanzania huku timu zote zikihitaji pointi tatu kutokana na nafasi waliyopo kwenye mismamo wa ligi. …
Klabu ya Polisi Tanzania imejikuta ikikalia kuti kavu baada ya kupoteza alama tatu wakiwa nyumbani katika dimba lao wanalotumia kwasasa la Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Klabu ya Polisi Tanzania …
Ligi kuu ya Tanzania Bara kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Mbeya City majira ya saa 10:00 jioni. Polisi Tanzania ambao bado wana …
Ligi kuu ya NBC inaendelea hii kwa mchezo mmoja ambapo hii leo timu ya Polisi Tanzania atacheza dhidi ya Kagera Sugar majira ya saa 10:00 jioni katika Dimba la Ushirika …
Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hapo kesho kwa michezo miwili, ambapo mchezo wa mapema kabisa utakuwa kati ya Geita Gold dhidi ya Polisi Tanzania majira ya saa 10:00 jioni. …
Baada ya kuanza vibaya msimu huu wa 2022/23, Uongozi wa Polisi Tanzania umefunguka kuwa usajili waliofanya ni kwa ajili ya kubaki ligi kuu kwa msimu ujao. Polisi Tanzania chini ya …
Gwiji wa Barcelona Dani Alves amekuwa mchezaji anayependwa sana Barcelona tangu awasili kutoka Sevilla mwaka 2008, lakini tabia hiyo imezua shaka. Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 40 alikuwa …
Timu ya Polisi Tanzania inatarajia kumualika Coastal Union hapo kesho katika mchezo wao wa Ligi kuu ya NBC raundi ya 18 majira ya saa 10:00 jioni. Polisi Tanzania ambaye …
Kikosi cha Polisi Tanzania tayari kimerejea mazoezini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya KMC. Polisi Tanzania wanatarajia kucheza mchezo huo Desemba 22 mwaka huu kwenye …
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao Polisi Tanzania wanawafuata machinjioni Uwanja wa Mkapa jijini Dar hivyo wajiandae ‘kufa’. Yanga kwenye msimamo ipo nafasi ya kwanza ikiwa …
Kuelekea kwenye mzunguko wa pili wa ligi kuu uongozi wa Polisi Tanzania umefunguka kuwa kwa sasa wamekuja kivingine. Timu hii inatarajia kucheza kesho jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar dhidi …
Klabu ya Yanga inatarajia kumualika Polisi Tanzania hapo kesho majira ya saa 1:00 usiku katika mchezo wao wa ligi kuu ya NBC. Young Africans ambao ni mabingwa watetezi wa …
Kikosi cha Polisi Tanzania kimekuwa na msimu mbaya hadi sasa ambapo ndio wanashikilia mkia kwenye msimamo wa ligi wakiwa wamejikusanyia pointi 9 tuu katika michezo 15 aliyocheza. Lakini mabosi …
Polisi leo wametoa maelezo mapya kuhusu wizi kwenye nyumba ya nyota wa Uingereza Raheem Sterling, na kufichua kuwa mke wake na watoto hawakuwa ndani wakati huo na ‘hakuna tishio la …