PSG Inafuatilia Hali ya Ibrahim Mbaye Huku Nustakabali wa Lucas Chevalier Ukiwa Kitovu cha Mjadala.
Aston Villa ndiyo inaongoza katika mbio za kumwania winga wa Paris Saint-Germain (PSG), Ibrahim Mbaye, mwenye umri wa miaka 18. Ingawa Paris inataka kumbakiza mchezaji huyo baada ya kuonyesha kiwango …

