rangers - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Rangers Yamfukuza Kocha Wao

News

Klabu ya Rangers imemtimua kocha wao Giovanni Van Bronckhorst baada ya kushuka kwa kasi katika mbio za kuwania taji la ligi kuu ya Scotland.   Van Bronckhorst alijiunga na Rangers …

Amad Diallo Kwenda Rangers kwa Mkopo

Daily News

Mchezaji wa timu ya Manchester United Amad Diallo yuko njiani kumalizia uhamisho wa kuahamia kwenye klabu ya Rangers kabla ya dirisha la mwezi January kufungwa siku ya Jumatatu usiku. Mkataba …

Giovan Van Bronckhorst na Rangers Kazi Ipo

News

Giovan Van Bronckhorst anatajwa kuwa ndie atakae wanaoa Mabingwa watetezi katika ligi kuu ya nchini Scotland Rangers, muda wowote kuanzia sasa watamtangaza gwiji wa zamani vilabu mbalimbali barani ulaya kuwa …

Rangers Wamtolea Macho Ronald Koeman

Daily News

Baada ya Steven Gerrard kuwapa mkono wa kwa heri sasa Rangers wanatafuta kocha mbadala ili kuendeleza wimbo mzuri ambao Gerrard aliuanzisha na Ronald Koeman anaonekana kuwa mtu sahihi Ibrox Stadium …

McGregor Kusalia Rangers FC.

Daily News

Licha ya kuwa na umri wa miaka 39, golikipa wa Rangers FC – Allan McGregor amesaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki kwenye timu hiyo msimu ujao. Allan ni miongoni mwa …

Celtic Wagoma Kutoa Heshima kwa Rangers

Daily News

Bosi wa Celtic John Kennedy amethibitisha kwamba timu yake haita wapigia makofi Mabingwa wapya wa ligi ya Scotland Rangers wakati wamchezo wao. Vijana wa Steven Gerrard watatembelea viunga vya Parkhead …

1 2 3 4 10 11 12