Nyumbani Tafuta

real madrid - matokeo ya utafutaji

Endapo haujapendezwa na utafutaji basi tafuta tena

Mourinho: “Ancelotti Atakuwa Mwendawazimu Kuondoka Real Madrid”

0
Kocha wa Roma Jose Mourinho anasema atafanya kazi Saudi Arabia ‘siku moja’ siku zijazo, huku akimshauri Carlo Ancelotti kuwa atakuwa mwendawazimu endapo ataondoka Real...
Real madrid

Real Madrid Yamuwinda Alphonso Davies

0
Klabu ya Real Madrid ipo mawindoni kwajili kumuwinda beki wa kushoto wa klabu ya Fc Bayern Munich Alphonso Davies raia wa kimataifa wa Canada...
reece james

Reece James Aingia Kwenye Rada za Real Madrid

0
Klabu ya Real Madrid inamuangalia kwa karibu beki wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza Reece James kama mrithi sahihi wa...
mbappe

Real Madrid Yakanusha Kufanya Mazungumzo na Mbappe

0
Klabu ya Real Madrid imetoa taarifa rasmi kukanusha kufanya mazungumzo na mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa anayekipiga ndani ya klabu ya PSG Kylian Mbappe. Real...
real madrid

Real Madrid Kumsajili Beki Inacio

0
Beki wa kimataifa wa Ureno Goncalo Inacio ameingia kwenye rada za klabu ya Real Madrid huku ikielezwa klabu hiyo inataka kumsajili katika dirisha dogo...
Tchouameni

Tchouameni: Ukiwa Real Madrid ndo Utagundua Ukubwa Wake

0
Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa na kalabu ya Real Madrid Aurelien Tchouameni amesema kua unaweza kujua klabu hiyo ni kubwa, Lakini utakapokua ndani yake...
kepa

Kepa Aitamani Real Madrid

0
Kipa wa klabu ya Chelsea ambaye anakipiga klabu ya Real Madrid kwa mkopo Kepa Arrizabalaga amesema anatamani kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo ambapo...
joselu

Joselu:Natamani Kubaki Real Madrid

0
Nyota wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania ambaye yupo kwa mkopo klabuni hapo akitokea klabu ya Espanyol Joselu amesema...

Mourinho Afunguka Kuhusu Kuondoka Inter na Real Madrid

0
Jose Mourinho alipokumbuka uamuzi wake wa kuondoka Inter kwenda Real Madrid katika msimu wa joto wa 2010, akikiri kuwa aliogopa kurudi Milan kwa sababu...

Real Madrid Inaweza Kumsajili Cucurella Mwezi Januari

0
  Real Madrid wamehusishwa na kutaka kumnunua kwa mkopo beki wa Chelsea Marc Cucurella mwezi Januari.  Ujio wa Mauricio Pochettino katika klabu ya Blues ulitoa fursa...

MOST COMMENTED

Unakwama Kuweka Pesa Meridianbet Kwa Airtel Money?

76
Mara zote jukumu letu ni kukupatia kilicho bora na kukutengenezea mazingira ya kuwa huru katika maamuzi yako. Sasa uko huru kufanya miamala yako ya...

HOT NEWS