safa - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Simba Yafata Safari Kuifata Raja

SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba imeanza safari yao mapema leo kuelekea nchini Morocco kucheza mchezo wao wa mwisho wa makundi wa kombe la klabu bingwa barani Afrika utakaopigwa siku ya Ijumaa dhisdi …

Yanga Safarini Kurejea Tanzania

SOKA LA BONGO

Klabu ya Yanga imeanza safari ya kurejea jijini Dar-es Saalam baada ya kuondoka na ushindi huko Tunisia dhidi ya Club Africain kwa kuwatandika kwa bao 1-0 ambalo lilikuwa na umuhimu …

Twiga Stars Nafasi ya Tatu COSAFA.

CAF

Twiga Stars timu ya taifa ya wanawake imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu katika michuano ya tatu katika michuano ya Cosafa iliokua inaendelea nchini Afrika kusini. Timu hiyo imefanikiwa kushinda mchezo …

Twiga Stars Yatupwa Nje COSAFA.

Azam FC

Twiga Stars mabingwa watetezi wa michuano ya COSAFA wametupwa nje ya michuano hiyo baada ya kukubali kipigo cha mabao mawili kwa moja katika mchezo huo. Timu hiyo ya wanawake ya …

Mikel Arteta Safari Itaisha 2025

Daily News

Pengine anastahili heshima yake na ushirikiano mkubwa ndani ya Arsenal. Mikel Arteta huenda akawa Arsene Wenger wa kizazi kipya. Baada ya kukabidhiwa timu ambayo haikua imeshinda michezo 7 mfululizo chini …

1 2 3 4 79 80 81