simba - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

BODI YA LIGI WAIKATAA SIMBA

Daily News

Baada ya Simba kutoa taarifa kuwa wanagomea mechi kwa kuwa walizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkapa hivyo hawatacheza mchezo wa Machi 8 2025, Mwenyekiti wa Bodi ya …

MUKWALA NA ATEBA KUNA JAMBO SIMBA

Daily News

Mastaa wawili kwenye eneo la ushambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids ngoma ni nzito kutokana na kuliamsha dude kwenye eneo la ufungaji katika mechi ambazo …

YANGA IMEWAPOTEZA SIMBA

Daily News

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamewapoteza watani zao wa jadi Simba kwenye eneo la ushambuliaji kwa kuwa na safu kali ya ushambuliaji ndani ya uwanja kwenye mechi …

SIMBA ILIVYOGAWA DOZI KIAINA BONGO

SOKA LA BONGO

Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kimemalizana na wapinzani wao Kilimanjaro Wonders kwa maajabu ya mtoto wa maajabu Chasambi kupachika bao huku David Kameta akitoa pasi mbili …

ATEBA ATOA YA MOYONI SIMBA

Daily News

LEONEL Ateba mshambuliaji wa Simba amesema kuwa furaha yake ni kuona timu hiyo inapata ushindi na watapambana kufikia malengo ikiwa ni pamoja na kutwaa ubingwa. Ipo wazi kwamba Ateba kibindoni …

SIMBA YACHUKUA ZOTE TATU KWA MKAPA

Daily News

Klabu ya Simba imefanikiwa kunyakua alama zote tatu kwenye mchezo wake wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya CS Sfaxien kutoka nchini Tunisia baada ya kuicharaza mabao …

SIMBA KAZI INAENDELEA

SOKA LA BONGO

Benchi la ufundi la Simba linaendelea na maandalizi kwenye kikosi hicho kwa mechi za kitaifa na kimataifa ambapo Simba kwenye anga la kimataifa ipo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa …

YANGA YAPIGWA MKWARA NA SIMBA

Daily News

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amebainisha kuwa ikiwa watani zao wa jadi, Yanga watahama Uwanja wa Azam Complex na kuchagua Uwanja wa KMC, Mwenge basi …

SIMBA: TUTAWALIZA WENGI MSIMU HUU

Daily News

Uongozi wa Simba umebainisha kuwa utawaliza wengi msimu huu kutokana na uimara wa kikosi walichonacho ndani ya uwanja pamoja na benchi bora la ufundi. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, …

1 2 3 4 114 115 116