spurs - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Reguilon Arejea Spurs

Daily News

Beki wa kushoto raia wa kimataifa wa Hispania Sergio Reguilon amerejea ndani ya klabu yake ya Tottenham Hotspurs akitokea klabu ya Manchester United ambapo alienda kwa mkopo katika dirisha kubwa …

Son Awatoa Hofu Mashabiki Spurs

Daily News

Winga wa klabu ya Tottenham Hotspurs Heung Ming Son amewatoa hofu mashabiki wa Tottenham Hotspurs baada ya kuonekana ameumia alipokua anaitumikia timu yake ya taifa. Son alionekana ameumia katika mchezo …

Tottenham Spurs Yarejea Kileleni

Daily News

Klabu ya Tottenham Hot Spurs imerejea kileleni kwenye msimamo wa EPL baada ya kushinda mchezo wao jana dhidi ya Fulham.   James Maddison alimsifu kocha wa Tottenham Ange Postecoglou baada …

Klopp Ataka Mchezo wao na Spurs Urudiwe

Daily News

Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp ametaka mchezo wao uliopigwa wiiendi iliyomalizika dhidi ya klabu ya Totenham Hotspurs kurudiwa kutokana na makosa yaliyofanywa na waamuzi. Kocha Klopp anaona kua …

Heung Ming Son Amewaka Spurs

Daily News

Nahodha wa klabu ya Tottenham Hotspurs Heung Ming Son ameanza kuwasha moto ndani ya klabu hiyo kutoka Kaskazini mwa jiji la London kutokana na kiwango alichokionesha leo. Tottenham leo wameibamiza …

Manchester United Yamuwinda Kiungo Spurs

Daily News

Klabu ya Manchester United imeingia kwenye mawindo ya kumuwinda kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspurs raia wa kimataifa wa Denmark Pierre Emile Holjberg. Manchester United wana orodha ya wachezaji kadhaa …

Heung Ming Son Nahodha mpya Spurs

Daily News

Winga wa klabu ya Tottenham Hotspurs raia wa kimataifa wa Korea Kusini Heung Ming Son amefanikiwa kutangazwa kama nahodha mpya wa klabu hiyo kutoka Kaskazini mwa jiji la London.Winga huyo …

Jay-Z Ahusishwa Kuinunua Spurs

News

RAPA maarufu wa Kimarekani Shawn Corey Carter Jay-Z anaweza kuchukua hatua ya kuinunua klabu ya Tottenham ya Uingereza endapo mmiliki wake Joe Lewis atapatikana na hatia baada ya kushtakiwa kwa …

Lloris Kutimka Spurs Msimu huu

Daily News

Golikipa na nahodha wa klabu ya Tottenham Hugo Lloris ataondoka ndani ya klabu ya hiyo mwishoni mwa msimu huu baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa muda mrefu. Golikipa Lloris ameomba …

1 2 3 4 46 47 48