sunderland - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Lazio Inamlenga Clarke wa Sunderland

Daily News

Kulingana na ripoti kutoka Italia, Lazio ya Maurizio Sarri imeiomba Sunderland kumsajili winga Jack Clarke. Kuna maslahi kutoka kwa Biancocelesti, kama ilivyothibitishwa na Sportitalia na Sky Sport Italia. Mchezaji huyo …

Amad Diallo Kutimkia Sunderland.

Champions League

Amad Diallo kinda huyu wa Manchester United raia wa Ivory Coast anakaribia kujiunga na klabu ya Sunderland inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Uingereza. Winga huyo ambae amekua akitolewa kwa …

Amad Diallo Kubaki Man United

Daily News

Mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Ivory Coast Amad Diallo anatarajiwa kusalia ndani ya klabu hiyo baada ya kupata majeraha ya goti. Mchezaji Amad Diallo …

Henderson Kutimka Liverpool

Daily News

Nahodha wa klabu ya Liverpool Jordan Henderson atatimka ndani ya klabu hiyo baada ya kuitumikia kwa muda mrefu na anadaiwa kutimkia Uarabuni msimu ujao. Henderson amekua kwenye kiwango kikubwa kwa …

Villa Wachagua Mbadala wa Martinez

Daily News

Aston Villa itamnunua kipa wa Everton na timu ya Taifa ya Uingereza Jordan Pickford ikiwa watampoteza mlinda mlango wao aliyeshinda Kombe la Dunia Emi Martinez.   Timu hiyo ya West …

Marsch Aipongeza Njaa ya Haaland

Daily News

Jesse Marsch alimshukuru mshambuliaji wake wa zamani wa Salzburg Erling Haaland mwenye “njaa ya kuambukiza” ya mabao baada ya nyota huyo wa Manchester City kuwatesa Leeds United kwenye Uwanja wa …

1 2 3 4