ten hag - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Berrada Matumaini Kibao kwa Ten Hag

Daily News

Mkurugenzi mkuu wa klabu ya Manchester United Omar Berrada amezungumza juu ya mipango ya klabu hiyo kuhakikisha wanairejesha kwenye kilele cha ubora wake wambao ilikua nao kwa miaka mingi iliyopita. …

Ronaldo Hajamalizana na Ten Hag

Daily News

Gwiji wa zamani wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo inaonekana bado ana dukuduku na kocha wa klabu ya Manchester United kwani ameendelea kumtupia madongo kocha Erik Ten Hag kupitia …

Ten Hag Yupo United Mpaka 2026

Daily News

Klabu ya Manchester United hatimae imefanikiwa kumuongeza kandarasi kocha wake raia wa kimataifa wa Uholanzi Erik Ten Hag ambaye ataendelea kusalia klabuni hapo mpaka mwaka 2026. Mkataba wa kocha Erik …

Mainoo Afurahia Ten Hag Kubaki

Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Kobbie Mainoo ameonesha amefurahia kocha wa klabu hiyo Erik Ten kuendelea kusalia ndani ya klabu hiyo kama kocha …

Ten Hag Kuongezewa Mkataba Mpya

Daily News

Baada ya taarifa kutoka jana usiku kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag ataendelea kuitumikia klabu hiyo kuelekea msimu ujao vyanzo vinaeleza klabu hiyo ina mpango wa kumpa …

Ten Hag Ampongeza Sancho

Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amempongeza mchezaji wake Jadon Sancho ambaye anakipiga kwenye klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani kwa mkopo. Kocha Ten Hag amempongeza Sancho …

Ten Hag Yupo Sana Man United

Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Uholanzi Erik Ten Hag inaelezwa bado ataendelea kusalia ndani ya klabu hiyo zaidi licha ya matokeo yasiyo ya kuridhisha hivi …

Ten Hag Akanusha Rashford Kutimka

Daily News

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amekanusha taarifa za mshambuliaji wake klabuni hapo Marcus Rashford kuhusishwa na mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa klabu ya PSG. Kumekua na tetesi …

1 2 3 4 201 202 203
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.