Nyumbani Tafuta
tottenham - matokeo ya utafutaji
Endapo haujapendezwa na utafutaji basi tafuta tena
Pedro Porro Atua Tottenham Kuongeza Nguvu
Pedro Porro anadai kuwa atakosa kuichezea Sporting Lisbon lakini anasisitiza kuwa anafurahia 'kufuata' 'ndoto' yake ya kucheza EPL baada ya kukubaliana na Tottenham. Odds...
Tottenham Yambeba Danjuma Kibabe
Klabu ya Tottenham Hotspurs imefanikiwa kumchukua mshambuliaji wa klabu ya Villarrela ya nchini Hispania Arnaut Danjuma kwa mkopo wa miezi sita mpaka mwisho wa...
Harry Kane Kusaini Mkataba Mpya Tottenham Licha ya Kuhusishwa na Manchester United
Harry Kane yuko tayari kuongeza mkataba wake na Tottenham na atafanya mazungumzo juu ya mkataba mpya baada ya dirisha la Januari kufungwa, kulingana na...
Tottenham Kumchukua Zaniolo
Klabu ya Tottenham ipo kwenye mchakato wa kuhakikisha inanasa saini ya mchezaji Nicolo Zaniolo anayekipiga katika klabu ya AS Roma kutoka nchini Italia kwa...
Tottenham Yaendelea Kupitia Kipindi Kigumu
Klabu ya Tottenham Hotspurs imeendelea kupitia wakati mgumu katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kua na mfululizo mbaya wa matokeo katika siku za...
Tottenham Washangazwa na Shabiki wao Kumshambulia Ramsdale
Tottenham walionyesha kushtushwa na tukio lililomshuhudia mlinda mlango wa Arsenal Aaron Ramsdale akishambuliwa na shabiki mwishoni mwa mchezo wa jana wa dabi ya London...
Tottenham Dhidi ya Arsenal Moto Kuwaka London Derby
Klabu ya Tottenham Hotspurs itawakaribisha mahasimu zao kutoka jiji la London klabu ya Arsenal katika mchezo ligi kuu ya Uingereza ambao pia utakua ni...
Tottenham Wanafikiria Kumnunua Zaniolo Januari
Ripoti zinadai kuwa Tottenham Hotspur wanafikiria kuwasilisha ofa Januari kwa nyota wa Roma, Nicolò Zaniolo kwani vilabu vingine vya Italia vitatoa ofa tu msimu...
Bosi wa PSG Al-Khelaifi Anaitaka Tottenham ya EPL
Qatar inapima dau la paundi bilioni moja kuwekeza Tottenham baada ya Rais wa PSG Nasser Al-Khelaifi kufanya mazungumzo na Daniel Levy katika hoteli moja...
Tottenham Hotspur Kumenyana na Man United na Chelsea Kumnasa Denzel Dumfries
Manchester United na Chelsea ni washindani wawili wakuu wa Tottenham Hotspurs kwa nyota wa Inter Milan, Denzel Dumfries kwenye dirisha la usajili la Januari,...