Diomande Anavutia Wakubwa Tu Ulaya
Sakata la usajili wa Yan Diomande limekuwa gumzo kubwa, likihusisha majina makubwa ya soka barani Ulaya. Winga huyu wa RB Leipzig, ambaye anatambulika kama kipaji cha kisasa, sasa anavutia klabu …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Sakata la usajili wa Yan Diomande limekuwa gumzo kubwa, likihusisha majina makubwa ya soka barani Ulaya. Winga huyu wa RB Leipzig, ambaye anatambulika kama kipaji cha kisasa, sasa anavutia klabu …
Rais wa Real Madrid, Florentino Pérez, ameshtua ulimwengu wa soka baada ya kutangaza mpango wa kutuma ofa kubwa ya Pauni 150 milioni (zaidi ya Sh450 bilioni) Jumanne ijayo kwa ajili …
Kikosi cha Arsenal kimeanza safari jioni kuelekea jijini Budapest, Hungary, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) dhidi ya Paris Saint-Germain …
Cesc Fabregas ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kuiongoza Como kufuzu michuano ya Ulaya kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya klabu hiyo. Ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya …
Gianluigi Donnarumma alionekana akiwa na hamu kubwa kuona bao la pili la Everton likifutwa siku ya Jumatatu, kiasi cha hata kupiga goti mbele ya mwamuzi Michael Oliver, kitendo kilichomletea kadi …
Kocha wa Aston Villa, Unai Emery, amesema anataka kuandika “ukurasa mpya” wa mafanikio barani Ulaya wakati kikosi chake kikijiandaa kukutana na Nottingham Forest katika nusu fainali ya UEFA Europa League. …
Unai Emery amesema Aston Villa wanatanguliza kumaliza ndani ya nafasi nne za juu kwenye ligi ya taifa, huku pia wakilenga ubingwa wa UEFA Europa League, akisisitiza kuwa uwanja wa Villa …
Gwiji wa Chelsea, Didier Drogba, ametoa kauli kali kuhusu hali ya soka la Ulaya kwa sasa, akizilenga moja kwa moja klabu kubwa za Real Madrid na Barcelona. Akizungumza kuhusu Barcelona, …
Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, hatimaye amefungua akaunti ya mabao akiwa na Le Havre AC baada ya kufunga katika sare ya 1-1 dhidi ya wapinzani wao kwenye mchezo wa …
Gwiji wa soka na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal FC, Thierry Henry, amezua mjadala mkubwa baada ya kudai kuwa Manchester United ni bora zaidi katika soka la Ulaya kuliko wapinzani …
Nyota wa soka wa Ufaransa, Kylian Mbappé, ametuma kijembe kizito kuelekea mchezo wa robo fainali ya UEFA Champions League dhidi ya Bayern Munich utakaochezwa mwezi ujao, akionesha kujiamini kwa kiwango …
Nyota wa Liverpool FC na timu ya taifa ya Egypt, Mohamed Salah, ameandika historia baada ya kufikisha mabao 50 katika michuano ya UEFA Champions League. Kwa mafanikio hayo, Salah anakuwa …
Winga wa Real Betis, Antony, anaonekana kurejea katika kiwango chake bora taratibu baada ya kipindi kigumu alichokipitia akiwa England. Nyota huyo wa Brazil ameanza kuonyesha dalili za kurejesha kujiamini kwake, …
Kocha wa FK Bodø/Glimt, Kjetil Knutsen amesema timu yake siyo tena mshangao barani Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Sporting CP katika mchezo wa UEFA …
Cristian Romero alisaini mkataba mpya na Tottenham Hotspur majira ya kipupwe kilichopita, lakini beki wa kati anaweza kuhamia klabu nyingine majira ya kiangazi. Nahodha wa Spurs, Romero, aliweka sahihi kwenye …
Galatasaray wana kikosi karibu kamili kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool utakaochezwa leo, huku Liverpool wakikabiliwa na kukosekana kwa baadhi ya wachezaji muhimu …
Beki mkongwe wa zamani wa Real Madrid, Sergio Ramos, ameripotiwa kutamani kujiunga na klabu ya Marseille wakati akisaka timu mpya ya kuendeleza nayo soka lake barani Ulaya. Ramos aliachana na …
Robert Lewandowski ameandika historia mpya barani Ulaya baada ya kujiunga na klabu adimu ya washambuliaji waliovuka mabao 20 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya wakiwa na zaidi ya klabu moja. Mshambuliaji …
Mshambuliaji wa Arsenal Gabriel Jesus amesema Inter ni ‘moja ya timu bora barani Ulaya’ kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa kati ya timu hizo mbili utakaochezwa San Siro Jumanne. Nerazzurri …
Kocha wa Inter, Cristian Chivu, amesema kuwa Arsenal na Bayern Munich kwa sasa ni timu mbili bora barani Ulaya, lakini amesisitiza kuwa Nerazzurri “hawajapoteza tayari” dhidi ya The Gunners. Inter …