vpl - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Mechi 8 Kuhitimisha VPL 2020/2021 Kesho

Daily News

Miongoni mwa ligi zilizochelewa sana kuisha basi ni ligi ya Tanzania bara VPL, lakini bingwa wa ligi hiyo ameshajulikana na hata zile timu zitakazowakilisha taifa kwenye michuano ya kimataifa zimeshajulikana …

Rasmi Simba Bingwa VPL 2020/2021

VPL

Baada ya papatu papatu ya dakika tisini za kushambuliana kwa wakati huku Simba wakionekana wapo kwenye wakati mzuri, ni rasmi sasa timu hiyo ya Msimbazi imetangazwa bingwa wa VPL kwa …

Mozinzi Na Nado Watupia 2, VPL Imenoga

VPL

Usiku wa jana ulikuwa maalum kwa Azam Fc, ambapo wachezaji wake wawili, Mpiana Mozinzi na Seleman Nado ambao walitupia mabao mawili kila mmoja na kuhakikisha ushindi wa 4-1 kwa Azam …

Vodacom Yajitoa Udhamini Ligi Kuu VPL

VPL

Wadhamini wakuu wa ligi kuu Tanzania bara, Vodacom wameamua kujitoa kwenye udhamini wa ligi hiyo kutokana na kinachosemakana kuwa wanapata hasara kubwa kwenye udhamini huo. Taarifa hiyo imekuja baada ya …

Simba Yaendelea Kujikita Kileleni VPL

VPL

Timu ya Simba imefanikiwa kuendelea kujikita kileleni mwa VPL baada ya hapo jana kuibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji pale kwa Mkapa. Katika mechi ya jana, …

YANGA: Tutamaliza VPL kwa Heshima

Daily News

Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema hana hofu na mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu zilizopo sasa na kuongeza ‘hesabu’ zitakamilika vyema katika mechi ya mwisho ya kumaliza …

Vita ya Top 4 VPL, Ataachwa Mtu

VPL

Ligi kuu Tanzania bara, VPL, Iliendelea hapo jana ambapo vijana wa Dodoma Jiji waliwaalika matajiri wa Dar es salaam, Azam FC na kuwalazimisha sare ya 2-2, katika mbio za kuwania …

Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara VPL

VPL

Msimamo wa Ligi kuu Tanzania Bara VPL uko hivi:- Yanga SC akiwa anashika nafasi ya kwanza huku akiongoza kwa pointi 50, wakati wapili akiwa Simba SC akiongoza kwa pointi 46, …

VPL: Simba na Namungo Kuendelea Walipoishia.

VPL

Kuelekea muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara [VPL], baadhi ya timu zilizokuwa na michezo pungufu kuanza safari yao mapema. Simba SC na Namungo zinamichezo pungufu, hii ni kutokana na ushiriki …

VPL Kurejea Februari 13,2021.

VPL

Bodi ya Ligi (TPLB) imethibitisha kuwa Februari 13, 2021 ndio tarehe rasmi ya Ligi Kuu Tanzania Bara – VPL kurejea viwanjani. VPL ilisimama kwa muda ili kupisha mashindano ya Mapinduzi …

Shikhalo: Yanga Ubingwa lazima VPL

Daily News

  Kipa Bora wa Kombe la Mapinduzi 2021, Faruk Shikhalo amewapa hamasa wanachama na mashabiki wa Yanga akiwaambia wasiwe na hofu kwani kwa namna Ligi Kuu iliyowakalia wanaona kabisa nafasi …

Luis Miquissone Afunika VPL

Champions League

Kiungo mshambuliaji wa Simba raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, ndiye anayeongoza kukunja mshahara mkubwa kwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu Bara msimu huu. Inaelezwa kuwa, kiungo huyo anayetumia zaidi mguu wa …

1 2 3 4 5