warriors - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Warriors Wanaukaribia Ubingwa NBA 2022

Basketball

Fainali ya NBA inazidi kunoga wakati huu ambao michezo 5 kati ya 7 imeshamalizika. Golden State Warriors wanaukaribia ubingwa msimu huu. Ushindi wa pointi 104-94, unawapa matokeo Warriors matokeo ya …

Warriors Bingwa Western Conference

Basketball

Fainali ya NBA 2022 inanukia, timu ya kwanza imeshajulikana. Ni Golden State Warriors, mabingwa wa Western Conference 2022. Warriors wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa fainali ya Western Conference baada ya kuwaburuza …

Warriors Wapindua Meza California

Basketball

Fainali ya Western Conference kunako NBA inaendelea kunoga kati ya Golden State Warriors na Dallas Mavericks. Vijana wa Kerr wanajambo lao msimu huu. Baada ya kuwa na msimu mbaya mwaka …

NBA: Antetokounmpo Ang’ara vs Warriors.

Basketball

Burudani ya mchezo wa kikapu kunako Ligi ya NBA inaendelea! The Greek Beast, Giannis Antetokonumpo amekiwasha dhidi ya Golden State Warriors. Milwaukee Bucks walikuwa uwanjani wakichuana na Warriors katika muendelezo …

NBA: Suns Wamekata Kamba ya Warriors.

Basketball

Mambo yanazidi kunoga kunako NBA 2021/22, mtanange wa Phoenix Suns na Golden State Warriors, umetoa matokeo tofauti na  yaliyotarajiwa. Licha ya kumpoteza Devin Booker baada ya kupata majeruhi, Suns wamefanikiwa …

NBA: Warriors Gari Limewaka!

Basketball

Ni wiki ya 2 kunako Ligi ya NBA nchini Marekani na timu mbalimbali zimeendelea kuonesha uwezo viwanjani. Hakika, Golden State Warriors gari limewaka! Baada ya kuwacharaza LA Lakers kwenye mchezo …

NBA: Curry Aweka Rekodi Warriors.

Basketball

Burudani ya ligi ya NBA mara zote inaendana na kufikiwa/kuwekwa au kuvunjwa kwa rekodi kadha wa kadha. Jumatatu hii, Stephen Curry ameweka rekodi ndani ya timu yao ya Golden State …

NBA: Warriors Hali Mbaya 2020/21!

Basketball

Hali sio shwari kwenye timu ya Golden State Warriors msimu huu kunako NBA. Idadi ya michezo wanayopoteza inazidi idadi ya michezo wanayoshinda, kulikoni?? Usiku wa kuamkia leo, Warriors walikuwa uwanjani …

NBA: Lakers na Warriors Ni Moto!

Basketball

LA Lakers na Golden State Warriors wamewalaza na viatu Chicago Bulls na LA Clippers kwenye muendelezo wa NBA. Lakers walikuwa uwanjani wakichuana na Chicago Bulls katika mchezo uliomalizika kwa ushindi …

NBA: Lakers na Warriors Waangukia Pua.

Basketball

Msimu mpya wa NBA umefungulia usiku wa kuamkia leo. LA Lakers walikuwa uwanjani kupambana na LA Clippers wakati ambapo Brooklyn Nets walichuana na Golden State Warriors. Lakers walijukuta wakipoteza mchezo …

1 2 3 4