wimbledon - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tennis: Djokovic Ruksa Kushiriki Wimbledon

Daily News

Waandaji wa mashindano ya Wimbledon wamethibitisha kwamba chanjo ya Covid-19 haitakuwa sheria kwa wachezaji kushiriki michuano kwa mwaka huu kwa maana hiyo Novak Djokovic ataruhusiwa kutetea taji lake. Mchezaji namba …

Novak Djokovic Bingwa, Wimbledon 2021

Daily News

Novak Djokovic amedhihirisha sifa yake ya kuwa mchezaji namba 1 kwa ubora duniani (wanaume) baada ya kutetea ubingwa wake wa Wimbledon 2021. Djokovic aliingia kwenye mashindano ya mwaka huu kama …

Iga Swiatek, Mwendo Mdundo Wimbledon.

Tennis

Mwanadada, Iga Swiatek amefanikiwa kufuzu mzunguko wa 4 kunako mashindano ya Wimbledon 2021.  Swiatek amefanikiwa kutinga kwenye hatua hiyo baada ya kumshinda Irina-Camelia Begu kwa matokeo ya seti 6-1 6-0. …

Wimbledon 2021: Federer vs Norrie Mzunguko wa 3

Tennis

Mashindano ya Wimbledon 2021 yanaendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali nchini Uingereza. Rodger Federer kuchuana na Cameron Norrie kwenye mzunguko wa 3. Federer ameendelea kuonesha uwezo wake mkubwa kwenye mashindano …

Wimbledon 2021: Murray Aonesha Ubora Wake.

Tennis

Mashindano ya Wimbledon 2021 yanaendelea kutimua vumbi nchini Uingereza. Baadhi ya wachezaji wamejitoa kwa sababu mbalimbali, wengine wanaendelea kuonesha ubora wao. Andy Murray ameonesha uwezo wake katika mchezo uliokuwa na …

1 2 3 4 5