Simba Yaruhusiwa Kutumia Uwanja wa New Amaan Zanzibar
BODI ya Ligi imeweka wazi kwamba kuna maboresho kwenye Kanuni za ligi msimu wa 2024-25 ambapo zinaruhusu timu za Ligi kuu ikiwemo Simba na Yanga kutumia viwanja vya Unguja na …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
BODI ya Ligi imeweka wazi kwamba kuna maboresho kwenye Kanuni za ligi msimu wa 2024-25 ambapo zinaruhusu timu za Ligi kuu ikiwemo Simba na Yanga kutumia viwanja vya Unguja na …
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameweka kambi Zanzibar ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika. Azam FC chini …
SIMBA wametinga hatua ya nusu fainali kwenye Mashindano ya Muungano Cup yaliyorejea Jana huko Visiwani Unguja, Zanzibar. Mshambuliaji anayesemwa sana kuwa ni wa kawaida, Fred Michael ndiye aliyeweka kwenye kamba …
NYOTA Agustino Okrah ambaye amecheza ndani ya kikosi cha Simba kabla ya kukutana na mkono wa kwaheri yupo Visiwani Zanzibar na leo YANGA wanayarajia kumtangaza rasmi. Inaelezwa Yanga wameingia kandarasi …
KAMATI ya Kombe la Mapinduzi, imetangaza rasmi kwamba, bingwa wa michuano hiyo ataondoka na kitita cha shilingi milioni 100, huku mshindi wa pili kukabidhiwa shilingi milioni 70 na vilabu vya …
INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye mpango wa kumtangaza Ladack CHASAMBI kwenye Mashindano ya Mapinduzi Zanzibar. Simba wapo kwenye mpango mkubwa wa kufanyia maboresho kikosi hicho ambapo inakwenda kuongeza viungo na …
Kama wewe ulidhani Simba wamemaliza kutambulisha vyuma vyao basi, sahau na futa kabisa fikra hizo ni hatari kwa afya yako na mpira kwa ujumla, habari ziko hivi wameshusha chuma kingine …
Nusu Fainali ya Mapinduzi Cup imepigwa jana kwa mchezo mmoja ambao uliwakutanisha kati ya Azam FC dhidi ya Singida Big Stars na kushuhudia vijana wa Kally Ongala wakinyonyolewa na Francy …
Wekundu wa Msimbazi- Simba SC wamepoteza mchezo wao wa kwanza wa mashindano ya Kombe la Mapinduzi huko kwenye visiwa vya marashi na karafuu- Zanzibar na hivyo kufanya kuvuliwa ubingwa wao …
Klabu ya Simba, baada ya kufunga mwaka kibingwa kwa kuichabanga Tanzania Prisons mabao 7-1 yaelekea Zanzibar kwaajili ya michuano ya Kombe la Shirikisho ambapo watakipiga dhidi ya Mlandege. Simba …
Klabu ya Azam FC imetua hii leo jijini Dar es salaam kwaajili ya michuano ya Mapinduzi Cup ambapo wanatarajiwa kukipiga hapo kesho dhidi ya Malindi FC. Mchezo huo na …
Kiungo wa klabu ya Yanga Feisal Salum Abdallah ameonekana katika uwanja wa Mao Zedong visiwani Zanzibar akicheza mchezo wa kirafiki kati ya JKU na klabu ya Mladege. Baada ya sarakasi …
Zanzibar imeruhusu mchezo wa ngumi kufanyika kisiwani hapo, ambapo kupitia hoja iliyowasilishwa na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita aliyoitoa Bungeni. Kubalika kwa mchezo huo …
Klabu ya soka ya Simba kupitia msemaji wake bwana Ahmed Ally ameeleza kikosi hicho kitasafiri kesho siku ya Ijumaa kuelekea Visiwani Zanzibar. Katika safari hiyo ya kuelekea Visiwani Zanzibar inaelezwa …
Msimu mpya wa Soka la Zanzibar kwa Mwaka 2021-2022 unatarajiwa kuanza Oktoba 25, 2021 kwa kuchezwa Ligi mbali mbali ikiwemo Ligi Kuu Soka ya Zanzibar (ZPL) na Ligi Daraja …
Klabu ya Yanga SC imeingia makubaliano na serikali kutangaza utalii wa Tanzania baada ya kuzindua kampeni ya kutangaza Mlima Kilimanjaro na Visiwa vya Zanzibar. Kampeni hiyo imezinduliwa na …
Timu ya KMKM ya Zanzibar imefanikiwa kunyakua ubingwa wa ligi kuu ya Zanzibar ikiwa na alama 44 katika michezo 22 iliyocheza. Mabingwa hao wa Zanzibar wamechukua kombe hilo la Ligi …
Uongozi wa timu ya Malindi na Kipanga zimekiri kupokea Shilingi 3,000 (elfu tatu) kila mmoja ikiwa ni sehemu ya Mapato baada ya makato (gharama nyingine za Uwanja) kwenye mchezo wao …
Mlinzi wa kulia wa klabu ya Singida Black Stars kutoka mkoani Singida, Ande Kofie Cirille raia wa Ivory Coast, anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa wiki takribani sita hadi kurejea …
Kiungo mshambualiaji mpya wa klabu ya Yanga raia wa Uganda, Allan Okello, ameanza mazoezi yake ya kwanza katika klabu ya Yanga kwa ajili ya kujiandaa na michezo ijayo na mwenyewe …