Klabu ya AC Milan imeweka wazi mipango ya kuipata saini ya kiungo mshambuliaji wa Chelsea Hakim Ziyech raia wa Morocco katika majira haya ya kiangazi.

 

ac milan, AC Milan Waikomalia Chelsea Saini ya Ziyech., Meridianbet

Kwa mujibu wa Calcio Mercato, AC Milan wanamtaka kwa mkopo wenye chaguo la kumnunua moja kwa moja huku Chelsea wakisisitiza kuwa watakuwa tayari kumuuza moja kwa moja na sio kumtoa kwa mkopo.

Chelsea ambao wamekuwa na uhusiano mzuri na AC Milan hasa baada ya kufanya biashara na wachezaji wawili wa klabu hiyo Fikayo Tomori na Oliver Giroud katika msimu huu.

Chelsea walimnnunua Ziyech kutoka Ajax msimu uliopita kwa dau la €40, tangu ajiunge na timu hiyo amefanikiwa kufunga magoli 6 na kutengeneza mengine 4 katika mechi 39 alizocheza katika mshindano yote.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa