Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amedai kwamba yupo tayari kurejea dimbani kuwakabili Leicester City siku ya Alhamisi siku nne tu baada ya kutoka kupoteza fainali ya AFCON hili limethibitishwa kocha …
Makala nyingine
Reece James alijumuishwa katika kikosi cha Chelsea kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu, kilichosafiri hadi Abu Dhabi Jumapili licha ya Thomas Tuchel kusema atakosa michuano hiyo. James hakutarajiwa …
AFCON, Michuano ya mataifa huru ya Afrika yalianzishwa mwaka 1957 huku ikishirikisha timu nne ila ni timu tatu ndizo zilizoweza shiriki nazo ni Misri, Sudan na Ethiopia wakati Afrika kusini …
Kocha msaidizi wa Misri Diaa al-Sayed ametoa wito kwa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika siku ya Jumapili dhidi ya Senegal kucheleweshwa kwa siku moja ili kuipa timu yake …
Kocha wa timu ya taifa ya Malawi Mario Marinica amewakosoa waandaji wa michuano hiyo kutokana na huduma mbovu walizokuwa wanapatiwa timu ndogo kulinganisha na timu kubwa kwenye mashindano hayo. Wachezaji …
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Gabon amemruhuhu mshamuliaji wake Pierre-Emerick Aubameyang kuondoka kwenye michuano ya AFCON na kurudi klabuni kwake ili aende akajiuguze baada ya kupata maambukizi ya …
Nigeria imepata nafasi ya kufuzu katika hatua inayofuata ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Cameroon. Super Eagles waliilaza Sudan 3-1 Jumamosi na sasa wanaongoza Kundi D. …
AFCON, kwenye mchezo kati ya Tunisia na Mali referee amemaliza mpira sekunde kumi kabla ya dakika tisini kufika na kusababisha kuleta sintofahamu kwa wachezaji na Tunisia ambao walikuwa nyuma kwa …
Golikipa wa timu ya Chelsea Edouard Mendy ni miongoni mwa wachezaji wa timu ya taifa ya Senegal ambao wamekutwa na maambukizi ya UvIko-19 kabla ya kuanza kwa michuano ya mataifa …
AFCON 2021, kuanza rasmi baada ya kuahirishwa mwaka jana kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa korona, jumapili ya leo moto kuwaka viwanja mbalimbali nchini Cameroon. Hapa chini tumekuwa makundi na …