Taarifa zinasema kuwa Lionel Messi amewaambia Barcelona wamsajili Sergio Aguero ambaye anataraji kuwa mchezaji huru kuelekea diriasha lijalo la usajili.

Muda wa miaka 10 wa Aguero, ambaye ni raia wa Argentina pale dimbani Etihad unatarajia kufika kikomo pale mkataba wake unapoisha msimu wa joto, na tayari ameshaweka wazi kuwa anatarajia kuondoka akimaliza mkataba wake.

Kwa sasa kuna mchuano mkubwa wa kuinasa saini ya staa huyo wa City, licha ya kuwa amekuwa akikwamishwa na majeraha msimu huu Barcelona wakiwa wanaongoza orodha ya vilabu anavyohusishwa navyo, huku Chelsea na Paris Saint-Germain wakiungana nao.

Sergio Aguero Ana Ushawishi kwa Lionel Messi?
Aguero na Messi: Timu ya Taifa Argentina

Kwa mujibu wa taarifa za ndani za Barcelona, Messi ameshauri mamlaka zitie nguvu kuiwinda saini ya Sergio kwa ajili ya msimu ujao wa 2021-22.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Messi huenda akabadilisha nia yake ya kutaka kuondoka na kuamua kusaini mkataba mpya kama rafiki yake Aguero atatimba klabuni hapo, hii inamaana ndoto za Man City kumsajili Messi kuziba pengo la Aguero pia zitakwama.

Sergio amekuwa akiongoza kwa magoli Man City, akiwa na jumla ya magoli 257 kwenye mechi zake 384 alizocheza mpaka sasa, lakini smimu huu umekuwa ni mgumu kwake kwa sababu ya changamoto ya majeraha.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Aguero, Sergio Aguero Ana Ushawishi kwa Lionel Messi?, Meridianbet

CHEZA HAPA

 

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa