Nahodha wa timu ya Taifa ya Nigeria Ahmed Musa (28) amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya nyumbani Kano Pillars FC hadi mwisho wa msimu huu 2020/2021.

Ahmed
Ahmed Musa akiwa Leicester City

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Leicester City hakuwa na timu tangu alipoondoka mwenye klabu ya Al-Nassir ya Saudi Arabia October 2020.

Ahmed
Ahmed Musa akiwa Al-Nassir

Musa aliwahi kuicheza Kano Pillars FC mwaka 2009.


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

ahmed, Ahmed Musa Arejea Kano Pillars, Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa