Ndani ya Ligi Kuu Bara Tanzania,  kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula amekaa langoni kwenye jumla ya mechi 22 kati ya 25 ambazo wamecheza na kukusanya pointi 61.

manula, Aishi Manula Kinara wa Clean Sheet, Meridianbet

 

Ikiwa imefungwa jumla ya mabao 10, Manula ameokota nyavuni jumla ya mabao 9 katika mechi 8 ambazo alifungwa huku akikusanya jumla ya clean sheet 14.

Ni mechi 22 ambazo amekaa langoni huku mechi mbili pekee akifanyiwa mabadiliko ilikuwa mbele ya KMC alipotumia dakika 45 na mbele ya JKT Tanzania alitumia dakika 67.

gomes

Jumla ametumia dakika 1912 na ana wastani wa kuokota bao moja nyavuni kila baada ya dakika 212.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

manula, Aishi Manula Kinara wa Clean Sheet, Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa