David Alaba ameanza kuonesha umuhimu wake huko Real Madrid ilikuwa haina mtu anayesimamia jukumu la kupiga freekick kwenye kikosi, kwa hivyo kuna chaguzi kadhaa wakati wa kupiga freekick katika msimu wa 2021/22. Lucas Vazquez alikuwa amefanya hivyo, Alaba sasa ameonyesha kile anachoweza kufanya kwenye eneo hilo.

Raia huyo wa Austria alifika kwenye klabu wiki hii, lakini tayari anafanya kazi kwa bidii na amekuwa akifanya mazoezi ya freekick zake.

Alaba haonekani kama anaweza kusafiri kwenda Scotland kwa mechi ya krafiki ya Jumapili dhidi ya Ranger na badala yake ataendelea kufanya mazoezi huko Valdebebas. Ataangalia kuendelea kuikamilisha mbinu yake ya freekick na anaweza hata kuaminiwa mara tu msimu utakapoanza na kuanza.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa