Makala nyingine

New England Patriots wamepata pigo jipya la kumkosa James White kabla ya pambano lao na mabingwa watetezi, Tampa Bay Buccaneers, na inasemekana kwamba James White atakosa msimu uliobaki kupitia jeraha. …

Tom Brady amesema kwamba hana haraka ya kustaafu kucheza katika NFL kwani amelenga kucheza mpaka atakapo kuwa na umri wa miaka 50. Brady kwa sasa ni bingwa mtetezi wa ulimwengu …

National Football League (NFL) ni ligi ya mpira wa miguu wa Amerika ya Kaskazini ambayo inajumuisha jumla ya timu 32 ambapo kilele cha mchezo huo huwa ni Super Bowl. Kuelekea …

Tom Brady amewashangaza wachezaji wenzake wa NFL kufuatia uamuzi wa kukubali kupunguzwa mshahara asilimia 20. Kama sehemu ya vita inavyoendelea dhidi ya COVID-19 na athari zake kwenye mchezo huo, NFL …

Soka la Amerika (American Football) ni moja ya michezo mikubwa zaidi Amerika ya Kaskazini. Ligi za kitaalam huko Amerika ya Kaskazini kama NFL huvutia wachezaji bora ulimwenguni kwa urahisi na …

1 2