Raisi wa Liga MX, Mikel Arriola ameeleza matamanio yake ya kuwapeleka Lionel Messi na Cristiano Ronaldo katika ligi yake au katika ligi ya Marekani, Major League Soccer (MLS).

Mataifa hayo mawili ya juu ya Amerika Kaskazini yamekuwa yakijadili juu ya kuungana, na Arriola ana matumaini kuwa inaweza kufanyika baada ya Kombe la Dunia la 2026 litakalo unganisha na Marekani, Mexico na Canada.

 

arriola, Arriola :Messi na Ronaldo Watakuja Mexico au MLS., Meridianbet

Arriola pia anaamini ligi hizo mbili zinaendelea kukua, na wanaweza kusajili wachezaji wakubwa mmoja au wawili katika mpira kwa zaidi muongo uliopita.

Akizungumza na ESPN, Arriola alisema: “Tungekuwa moja ya ligi bora ulimwenguni [ikiwa tutaungana na MLS].

“Hatua inayofuata itakuwa kuwa na Messi au Cristiano Ronaldo hapa (Mexico) au Marekani, labda katika hatua ya mwisho ya taaluma zao.” aliongeza.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

arriola, Arriola :Messi na Ronaldo Watakuja Mexico au MLS., Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa