Arsenal watasafiri mpaka Leicester City katika raundi ya tatu kwenye mashindano ya EFL Cup, wakati mabingwa wateteziwa kombe hilo Manchester City watakabiliana na Bournemouth au Crystal.

Ikiwa ratiba ya michuano hiyo imebana kutokana na kuchelewa kumalizika kwa msimu uliyopita sababu ya janga la virusi vya Corona, droo ya ratiba ya raundi ya tatu imefanyika siku ya Jumapili.

Arsenal wamepangwa kutembelea viunga vya King Power Stadium,wakati City ambao iliwafunga Aston Villa mwezi Februari na kutwaa taji hilo mara ya tatu mfululizo, watakuwa Etihad wakiwakaribisha Bournemouth au Crystal Palace.

Arsenal, Arsenal Kuwakabili Leicester City Katika EFL Cup., Meridianbet

Liverpool watakua na kibarua chepesi kwa kukutana na timu ya ligi ndogo na Manchester United watakabiliana na kati ya Reading au Luton Town.

Ratiba ya Raundi ya pili EFL Cup.

West Ham v Charlton Athletic

Ipswich Town v Fulham

Oxford United v Watford

Bournemouth v Crystal Palace

Leyton Orient v Plymouth Argyle

Southampton v Brentford

Bristol City v Northampton Town

Reading v Luton Town

Millwall v Cheltenham Town

Brighton and Hove Albion v Portsmouth

Newport County v Cambridge United

Gillingham v Coventry City

Round two north region draw in full:

Burnley v Sheffield United

Burton Albion v Aston Villa

Bradford City v Lincoln City

Leeds United v Hull City

Everton v Salford City

Wolves v Stoke City

Fleetwood Town v Port Vale

Rochdale v Sheffield Wednesday

West Brom v Harrogate Town

Middlesbrough v Barnsley

Derby County v Preston North End

Newcastle United v Blackburn Rovers

Morecambe v Oldham Athletic

Ratiba ya raundi ya tatu:

Bradford au Lincoln v Liverpool

Bristol City au Northampton Town v Burton Albion au Aston Villa

Morecambe au Oldham Athletic v Newcastle United au Blackburn Rovers

Reading au Luton Town v Manchester United

Derby County au Preston North End v Brighton and Hove Albion au Portsmouth

Ipswich Town au Fulham v Rochdale au Sheffield Wednesday

Manchester City v Bournemouth au Crystal Palace

Millwall au Cheltenham Town v Burnley au Sheffield United

Chelsea v Middlesbrough au Barnsley

Wolves au Stoke City v Gillingham au Coventry City

Leicester City v Arsenal

West Brom au Harrogate Town v Southampton au Brentford

Newport County au Cambridge United v Oxford United au Watford

Fleetwood Town au Port Vale v Everton au Salford City

Leyton Orient au Plymouth Argyle v Tottenham

West Ham au Charlton Athletic v Leeds United au Hull City

West Ham v Charlton Athletic

Ipswich Town v Fulham

Oxford United v Watford

Bournemouth v Crystal Palace

Leyton Orient v Plymouth Argyle

Southampton v Brentford

Bristol City v Northampton Town

Reading v Luton Town

Millwall v Cheltenham Town

Brighton and Hove Albion v Portsmouth

Newport County v Cambridge United

Gillingham v Coventry City


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

44 MAONI

  1. Fixtures ipo poa sana CARABAO cup natumain match itakuwah ya ushindan mkubwa Sana hapa na mAtokeo yatahamuliwana ubora wa vikosi ndani ya cku hyo

  2. Ligi ya EPL imekuwa ikitajwa kama moja ya ligi zenye mechi nyingi hivyo kuchosha wachezaji,kuna mechi CARABAO-EFL, FA, CHAMPIONS LEAGUE kwa top teams na EPL yenyewe#meridianbettz

  3. Msimu wa 2020/2021 utanoga sana Uingereza maana vilabu karibia vyote vimejipanga vizuri sana kwenye mashindano yote, Huenda ata Bingwa wa UEFA akatokea Uingereza

  4. Huu msimu tunaousubiria naona vilabu vyote vmejiweka ktk ukakamavu Lkn natupia upande mmoja wa shs arsenal dhidi Leicester natumai the gunner one atafembeza kichapo kwa Leicester.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa